Matani

Hashy: wewe ni mfupi mpaka kukinyesha wewe ndo unakuwa wa mwisho kujua..
Dena Amsi: Hayaaa..nyinyi tv yenu ni local mpaka undertaker wa wrestling anaitwa Massawe
Loyal Citizen: Usimcheke mwenzio wakati na yenu ni ndogo mpaka watu wa kusoma habari wanachuchumaa ndo muweze kuwaona vizuri..
Raia fluani: Dada zako ni wabaya mpaka baba yenu ameandika kwenye geti, "Marry 1 get 2 free"..teh teh teh..
Katavi: Paka wenu ni mzee amebakisha siku moja awe simba..
Unata unataka...
Hashy: wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..."
Twende twende..
Mwangalie kwanza, wewe ni mchafu mpaka ukilalia mashuka masafi unapatwa na homa!!!!

hii hili vipi? cheki ndevu ka uchafu wa sumaku
 
Aspirin:
Mwangalie kwanza ndo maan simu yako n nzee mpaka yule snake wa games amekufa!!!
 
Hashy: mwone kwanza..ndo maana demu wako ni mnene mpaka badala ya kuvaa pencil jeans yeye huvaa marker-pen jeans!!!
Aspirin: wewe ni mjinga mpaka ulienda driving school boarding..
 
Hashy: mwone kwanza..ndo maana demu wako ni mnene mpaka badala ya kuvaa pencil jeans yeye huvaa marker-pen jeans!!!
Aspirin: wewe ni mjinga mpaka ulienda driving school boarding..

we ni wazamani hadi buibui wamejenga masikioni kwako
 
Hashy: wewe ni mfupi mpaka kukinyesha wewe ndo unakuwa wa mwisho kujua..
Dena Amsi: Hayaaa..nyinyi tv yenu ni local mpaka undertaker wa wrestling anaitwa Massawe
Loyal Citizen: Usimcheke mwenzio wakati na yenu ni ndogo mpaka watu wa kusoma habari wanachuchumaa ndo muweze kuwaona vizuri..
Raia fluani: Dada zako ni wabaya mpaka baba yenu ameandika kwenye geti, "Marry 1 get 2 free"..teh teh teh..
Katavi: Paka wenu ni mzee amebakisha siku moja awe simba..
Unata unataka...
Hashy: wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..."
Twende twende..
Mwangalie kwanza, wewe ni mchafu mpaka ukilalia mashuka masafi unapatwa na homa!!!!

Sina Mbavu mie jamani:teeth:
 
Hashy: mwone kwanza..ndo maana demu wako ni mnene mpaka badala ya kuvaa pencil jeans yeye huvaa marker-pen jeans!!!
Aspirin: wewe ni mjinga mpaka ulienda driving school boarding..

kweli nimeamini we ni mentor
 
Jamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe!
Najikumbushia tu...(usinichukie...)

Unataka matani..
Nyani ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..

Fidel, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack...
Mzee mwanakiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO..
Aspirin unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe Tukutuku uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..

Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi...

PS: On a light touch...

tv yenu ndogo hadi kila mtu ana lenzi yake
 
It is a great value of joke at a time when our minds are over stretched with current events. Keep it up BUT DO NOT CROSS THE RED LINE OF PRIVACY OF INDIVIDUALS
 
It is a great value of joke at a time when our minds are over stretched with current events. Keep it up BUT DO NOT CROSS THE RED LINE OF PRIVACY OF INDIVIDUALS

aaa mimibaba yaani kwenu matajiri hadi mdogo wako huwa halii bali ana vaibreti
 
Hahahahhaa....Burudani ya ukweli!!

Mentor....We ni mjinga mpaka unadhani unayemwona kwenye kioo ni pacha wako.
HashyCool....Kwenu ni masikini mpaka panya wanawaonea huruma.
Kwenu ni wachafu mpaka mende wanafanya mkakati wakuhama.
Una tabia mbaya mpaka shetani hakutaki.
:bump:
 
tv yenu ndogo hadi kila mtu ana lenzi yake

ahaa! Duh! Mi nakumbuka ilee!

Mikono mirefu ka mwosha maiti...

Mashavu makubwa ka mimba ya panya...

Nywele zako kipilipili ka mkutano wa Inzi...

Umeshupaa ka Bakora ya Babu!

Domo kubwa mpaka chapati hukunji....

Macho ka goroli za mchina...

Umebung'aa ka mavi ya asubuhi....

Umenyooka ka mataruma ya Reli...

Mweusi mpaka mkaa umesingiziwa....

Mdomo juu juu ka filimbi ya refarii....

Masikio ka popo....
 
Na wewe HC dada wako ni mbaya mpaka hahitaji mask wakati wa Halloween.
Castomoshi- kwenu ni masikini, wanene na hamna akili mpaka herufi pekee mnazozijua ni K.F.C
Swahilian- Wewe ni mnene mpaka ukienda kupima ktk scale inakuambia hapana mmoja mmoja tafadhali!:whoo:
Na wewe Lizzy dawa yako ipo jikoni!:gossip:
 
We mentor wewe.. embu nikumbushie na mimi

twende twende...

Uso umekunyamana utadhani toilet paper!

Yaani mtu mbishi hadi Zitto alipokuona akasema "Buzwagi"!

Umekomaa hadi meno yako unatia grease!
 
We mentor wewe.. embu nikumbushie na mimi

twende twende...

Uso umekunyamana utadhani toilet paper!

Yaani mtu mbishi hadi Zitto alipokuona akasema "Buzwagi"!

Umekomaa hadi meno yako unatia grease!

aaah mwanakijiji umezeeka hadi mgongoni kwako umeandikwa season finale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom