Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo Rais anatakiwa kudeal na maprofesa tu? Wanamuziki hawatakiwi Ikulu!!! Nimeona watu mnalalamika hata kitendo cha Rais kushirikia mazishi ya Kanumba. Kumbukeni kuwa Urais haumfanyi mtu aache kuwa binadamu wa kawaida. Mmenikumbusha wafanyakazi wa White house ya Marekani wanavyomlalamikia Michelle Obama kuwa tangu ameingia Ikulu kuna wageni wa hali ya chini wengi wanakuja, wakati wamezoea kuona White hause wanaalikwa "watu bora".

Huyo Loveness kama kila kitu alichowaambia mmemwamini hamuwezi kuweka lawama kwa JK. Ni jukumu lenu wenyewe kutafuta ukweli.

Ili kufahamu zaidi tamaduni za kualika watu mbalimbali Ikulu za nchi mbalimbali tazama hapa:
Barack Obama Invites Damian Lewis, Idris Elba To White House Dinner For David Cameron (VIDEO, PHOTOS)

Michelle Obama invites TV host Jimmy Fallon in for a White House gym session | Mail Online

Carla Bruni welcomes Russian president to state dinner in a daringly tight dress ~ Beauty Care

Angela Merkel would like to dine with Vicente del Bosque

We ni Rweyemamu? Mi najua rweyemamu yupo humu atamjibu.
 
Mkuu nilikuwa nikidhani huyu jamaa anaonewa lakini nimechoka!sijui tulaumu watanzania ama ni nani?there's no way huyu jamaa ni rais bana!Hivi hakujawahi kufanyika maandamano ya kumtaka ajipumzikie?maana kwa utaratibu huu,2015 ni mbali mnoo!jamaa na urais mbalimbali kabisaa!

Wakulaumiwa ni tume ya uchaguzi, police waliosaidia kuiba kura pamoja watz ambao hawakujitokeza kupiga kura na hasa wale walioipigia kura ccm
 
Siishi US kwa kodi za watanzania ni elimu yangu ndiyo iliyonipa mwanga; nyumba si tatizo wagogo wanazitaka kwa mtazamo ndio zinamudu hali ya hewa ya Dodoma; elimu ya matofali ya kuchoma walipewa siku nyingi sana sasa unataka serikali ifanye nini. Je mnataka kila uzushi mnaousema tuukubali hata kama ukweli upo wazi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Unategemea ukatibu mkuu wa baba yako unafikiri hatukujui 2015 ndio mwisho
 
Huo ndio uzoefu wa SItta anoringia, huku akimwita Mbowe DJ,huku mwenyekiti wake ni Promoter.Hawa jamaa hajui kila sentensi waongeayo kua millions cylles za processes kabla hajamaliza kuelezea asichokijua tayari tunatamani mtu aje mowndoa ktk jukwaa na medai.

ha ha ha ha.

mmoja DJ, Mwingine promota. Hlafu promota anabip, ukimpigia anajisifu kuwa yeye ni noma!!!!!!!!!!!

TANZANIA YANGU, INAPOTEA KILA UCHWAO
 
Unanikumbusha Nyerere alivyompeleka Mzee Morris Japan 1970 (expo 70) na kundi lake zima. Kuwaonesha maajabu ya kipofu anapiga ngoma kumi wakati dunia nzima wamepeleka bidhaa za ku export Nyerere akampeleka huyo mzee na Mbaraka Mwinshehe na bendi yake nzima na kundi la wachezea nyoka wa kinyamwezi na kisukuma na bendi ya polisi ya gwaride (brass band).

Tanzania tuna viongozi wa ajabu sana, ukiuliza ile ilisaidia nini, mpaka leo hakuna mwenye jibu linaloingia akilini.

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Sijui hujui kuwa Leticia Nyerere alichukuwa mwana mziki akashindwa kumlipa? yeye nae promoter? sijui hujui Sugu alipelekwa na chadema kutumbuiza? umeona ya diamond tu na Kikwete?
 
Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Ha! Ha!
 
Mkuu chama,
Hizo porojo kuhusu kumponda JK humu JF tumeishazoe kuna watu humu kukwama kwao kimaisha hasira zao zinakwenda kwa JK..
 
Last edited by a moderator:
Mbona Dr Slaa, alikuwa analifadhili kundi la wana kwaya wakati wa kampeni za urais.
 
Kosa la rais lipo wapi?

Je Diamond ameenda USA kwenye ufunguzi wa tawi la CCM kweli? hata kama ni kweli whats the big deal?

Mimi ninavyojua soon Diamond ataelekea unyamwezini kupiga show kutumbuiza watanzania huko ambao watalipa kiingilio.
 
Ours is a problem called Limbic system disorder! Uongozi ni taaluma yenye kuhitaji utaalamu mkubwa kuijenga. I thought jeshi push people to learn leadership by developing well functioning limbic system....time has proved me wrong, teh teh teh!
 
Habari ndio hiyo na tutawaletea yatakayo jili siku hiyo ya Jumamosi wakati wana CCM wakilipishwa $35.00 kwa show ambayo ni haki yao kuiona BURE.
 
Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Ha! Ha!
Alijenga nyumba duuu!zilizoachwa na wakoloni na kutaifisha za wahindi,?! eti alikemea rushwa aaaaaah alikua anafanya kuwahamisha ukila huku unaamishiwa kwengine
 
Ikulu imegeuka sehemu ya kujibia vibiya hoja zinazohitaji majibu mazuri.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom