Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!

Mkuu umeongea pointi kuna watu wanacheza ngoma wasioijua,
hawa watu wa kaskazini wana lao jambo huwezi kuwaweka pamoja lowasa na sumaye ambao walikuwa mahasimu wakubwa,hapa lazima kuna kitu kimewaunganisha,
na hiki sio kingine ni ukaskazini kama umemsikia sumaye jana kauli ya;raisi hawezi kutoka kaskazini inaonesha wameunganishwa na ukabila hawa watu ni hatari tuwaogope.
 
Kuna mkabira kama zzk?wacha kutudanganya kajipange upya na act yenu imewafia mkononi
 
Zzk alichotakiwa ni kuwa mvumilivu ndani ya cdm bila kuwa na tamaa ya kipato na uchu wa madaraka naamini hadi leo angesha panda cheo tena,lkn akadanganyika sasa leo kasahaulika na kutupwa kama ganda la muwa
 
Mkuu umeongea pointi kuna watu wanacheza ngoma wasioijua,
hawa watu wa kaskazini wana lao jambo huwezi kuwaweka pamoja lowasa na sumaye ambao walikuwa mahasimu wakubwa,hapa lazima kuna kitu kimewaunganisha,
na hiki sio kingine ni ukaskazini kama umemsikia sumaye jana kauli ya;raisi hawezi kutoka kaskazini inaonesha wameunganishwa na ukabila hawa watu ni hatari tuwaogope.

Act chaaaaaliiiiiiiiiiiii
 
kenge madoadoa..! Kwani wa kaskazini siyo watu? kwa hawana haki? mbona kikwete rais, mwanae ni mbunge, mama mjumbe nec, ila hamsemi ni chama cha mashariki/familia? acheni udunya madorobo nyinyi. shrines!
 
Hapo unejaribu kuwafungua macho ya ziada waone.

Malizia Sita amemwachia Mkewe Jimbo means hajuna wakio bora kugombea nnje ya hawa watawala wajivuni.
 
Mkuu umemsahau john malichela,mkewe Ana kilango leo hii ni waziri hayo yote hawaoni
 
kenge madoadoa..! Kwani wa kaskazini siyo watu? kwa hawana haki? mbona kikwete rais, mwanae ni mbunge, mama mjumbe nec, ila hamsemi ni chama cha mashariki/familia? acheni udunya madorobo nyinyi. shrines!

mbona mkuu unatukana?
hujui kwamba matusi ni kipimo cha kupungukiwa hekima.
huwezi kujenga hoja bila ya kutoa lugha chafu?.

swali dogo naomba nisaidie,
hivi karibuni tumewashuhudia lowasa na sumaye wakiwa mahasimu wakubwa ktkt ccm,
Sumaye alitishia kuondoka kama lowasa angepitishwa,
nini kimewaunganisha?
 
Mimi binafsi namkubali sana Zitto Zuberi KABWE, jamaa ni mwana siasa wa kweli kwa kumlinganisha na hao wanasiasa wengine...........
Hana siasa za matusi , anajiamini na kuheshimu misingi ya Kidemokrasia, ana uchu wa madara kama kinafulani.........
Unajua kisa cha HAHMADI RASHIDI na CUF, Ni yaleyale yaliyomkuta Zitto kwa CDM....
Vyama vyenye wenye viti wa kudumu kama..............., ..................., ...................na.............!!sio rahisi kukubaliana na changamoto kutoka kwa wenye HOJA makii kama Zitto na HAHADI RASHIDI..
KAZI KUSEMA ni wafuasi wa lile kundi lingine
LIVE LONGER ZITO ZUBERI KABWE
 
Act chaaaaaliiiiiiiiiiiii

Najua haya ndiyo maombi yako toka act inaanzishwa,
lakini hujui walioanzisha act waliona nini cdm subiri na wewe ukatwe kama
dr raisi wa moyo wako ndio uzajua cdm ina wenyewe.

Act ndio chama mbadala baada ya uchaguzi ndio chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom