Masikini Zitto Kabwe, umesahaulika kabisa

Tumchague lowasa awe rais hayo yote tutayapata kwa haraka sana,karibu cdm
Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!
 
Amesha tuahidi kufuata haki ktk kugawana keki ya taifa,hivyo tujitahidi tumpe support ya kutosha ili aingie madarakani ili kwa mara ya kwanza tokea uhuru kila mkoa unufaike na keki ya taifa.
 
Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!

Kwenye uawala wa ccm mikoa mingi ilipigwa chini,siyo hiyo uliyo itaja tu kuna mikoa kama singida,mtwara,lindi,mara,
 
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.

Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?

Nipo Dubai,kwani chama chake kimepata mgombea Urais?
 
Hadi sasa bado wanazunguka na form ya urais waliyo ichukua 4days ago hadi sasa hawajafanikishs kumpata mgombea,tuna wasiwasi wanaweza hata kuibiwa na vibaka hiyo maana wanatembea nayo mfukoni kama gazeti
 
majuzi nilimwona afande sele'mzee wa mkuki moyoni anajipigia kampeni akiwa ACT.Daaa naisi anajipotezea muda maana chama baadooooo kibichi.
 
Duuu huyo afande anajichosha maana hata akiomba udiwani hawezi kupata
 
Afande anafikiri siasa ni rahisi kama kufuga nywele?
 
Duuu huyo afande anajichosha maana hata akiomba udiwani hawezi kupata
Atapataje wakati chama kina bendera nyingi kuliko wanachama yaana na kugawa kadi bure bado wanabendera nyingi kuliko wanachama
 
Teeeeeeh,teeeeeh,teeeeeh nimeipenda hii mkuuu,wana akili kama za idi Amini
 
Back
Top Bottom