Masikini Wema Sepetu, Kakumbwa na Balaa Jingine tena!!

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa alienda kushoot film katika pub fulani ya Pededjee anaesemekana kutembea nae sasaivi.

Mkewe akapata habari akaenda pale pub na Range Rover (Vogue) na kugongagonga gari analotumia Wema wakati Wema akiwa ndo anatoka pale na wasanii wenzie baada ya zoezi la kushoot kushindikana kutokana na kuwepo na watu wengi.

Mke wa pededjee huyo amedai ameligonga hilo gari sababu ni gari lao la familia kwahiyo haoni kwann Wema alitumie na kwamba alienda pale kushoot kwa ruhusa ya nani wakati yeye mwenye mali hana taarifa za ujio wake (Wema)?!

Isitoshe mke huyo kalalamika kuwa Wema anajigamba magazetini kuwa anatembea na mmewe ana alimpelekwa Dubai na kufanyiwa shopping kali ya mamilioni ya Pesa. Pia inasemekana Wema huwa anaenda pale Pub na wasanii wenzie wanajirusha, wanakula na kunywa then Wema anasaini bill ya zaidi ya millioni na kuondoka bila kulipa.

Imefanyika kasheshe kubwa na ishu nzima iko Oysterbay polisi ambapo yule mke aliwekwa ndani. Kwa story kamili kesho saa 5.20 asubuhi tune Radio Clouds kutakuwa na muendelezo wa hekaheka hiyo ambapo Wema atafunguka kuelezea kilichomtokea. Pole sana Wema Sepetu.
 
nimekisikiliza mwanzomwisho.MME WA MTU SUMU,alikuwa anatamba mjini kwa kufanya shopping ya kufuru dubai kumbe hela kadownload kwa pendeshee mme wa mtu mmweeh
 
Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa alienda kushoot film katika pub fulani ya Pededjee anaesemekana kutembea nae sasaivi.

Mkewe akapata habari akaenda pale pub na Range Rover (Vogue) na kugongagonga gari analotumia Wema wakati Wema akiwa ndo anatoka pale na wasanii wenzie baada ya zoezi la kushoot kushindikana kutokana na kuwepo na watu wengi.Mke wa pededjee huyo amedai ameligonga hilo gari sababu ni gari lao la familia kwahiyo haoni kwann Wema alitumie na kwamba alienda pale kushoot kwa ruhusa ya nani wakati yeye mwenye mali hana taarifa za ujio wake (Wema)?!

Isitoshe mke huyo kalalamika kuwa Wema anajigamba magazetini kuwa anatembea na mmewe ana alimpelekwa Dubai na kufanyiwa shopping kali ya mamilioni ya Pesa. Pia inasemekana Wema huwa anaenda pale Pub na wasanii wenzie wanajirusha, wanakula na kunywa then Wema anasaini bill ya zaidi ya millioni na kuondoka bila kulipa.

Imefanyika kasheshe kubwa na ishu nzima iko Oysterbay polisi ambapo yule mke aliwekwa ndani. Kwa story kamili kesho saa 5.20 asubuhi tune Radio Clouds kutakuwa na muendelezo wa hekaheka hiyo ambapo Wema atafunguka kuelezea kilichomtokea.

Pole sana Wema Sepetu.
 
[h=2]Monday, March 5, 2012[/h] [h=3]WEMA APORWA GARI NA MKE WA PEDESHEEE!BREAKING NEWS[/h]

HALLO HABARI ZENU APAO MLIPO?JAMAN MA NEWS NILIYONAYO APA NI KWAMBA WEMA KAPATA KITIMTIM CHA AINA YAKE PALE MWANAMBOKA BAADA YA MKE HALALI WA PEDESHEE KUMUIBUKIA NA DEFENDER ZILIZOSHIBA ASKARI AKIDAI AMKABIDHI GARI ALILOHONGWA NA MMEWE.MASHUHUDA WANADAI MAMA HUYO AKIWA NA MACONFIDENCE KIBAO ALIMTISHIA HADI BASTOLA WEMA NASIKIA EMA AKATIMUA MBIO KAMA YUPO MARATHONI!NIKIWA KAMA MPAMBE WA MITAAN NYIE MASHOGA ZANGU MARUFUKU KUHONGWA MAGARI YASIOKUA NA KADI JAMANII MAANA TUTAUMBUKAJE APA MJINI??????????NA HIVYO VIATU MMVIVUE JAMANI VINGINME VINAFANGASI ATI!!!!
HABARI KABIORI NTAMTAFUTA WEMA SEPETU MWENYEWE ANIPE HABARI MAANA KUSUTWA MJINI SITAKI AKUUUU.MAANA INASEMEKANA MARA DDA HUYO MWENYE MALI KATIWA NDANI. HAHAHA KUMEKUCHA
 
Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa alienda kushoot film katika pub fulani ya Pededjee anaesemekana kutembea nae sasaivi. Mkewe akapata habari akaenda pale pub na Range Rover (Vogue) na kugongagonga gari analotumia Wema wakati Wema akiwa ndo anatoka pale na wasanii wenzie baada ya zoezi la kushoot kushindikana kutokana na kuwepo na watu wengi.Mke wa pededjee huyo amedai ameligonga hilo gari sababu ni gari lao la familia kwahiyo haoni kwann Wema alitumie na kwamba alienda pale kushoot kwa ruhusa ya nani wakati yeye mwenye mali hana taarifa za ujio wake (Wema)?! Isitoshe mke huyo kalalamika kuwa Wema anajigamba magazetini kuwa anatembea na mmewe ana alimpelekwa Dubai na kufanyiwa shopping kali ya mamilioni ya Pesa. Pia inasemekana Wema huwa anaenda pale Pub na wasanii wenzie wanajirusha, wanakula na kunywa then Wema anasaini bill ya zaidi ya millioni na kuondoka bila kulipa.Imefanyika kasheshe kubwa na ishu nzima iko Oysterbay polisi ambapo yule mke aliwekwa ndani. Kwa story kamili kesho saa 5.20 asubuhi tune Radio Clouds kutakuwa na muendelezo wa hekaheka hiyo ambapo Wema atafunguka kuelezea kilichomtokea. Pole sana Wema Sepetu.

Sasa hiyo pole unayompa ni ya nini kama mtu anaingilia ndoa ya watu? Huyu mtoto ni wa kufanyiwa maombi kwani inaelekea ni mchafu kupindukia- kwa wanaume wa dar labda ni mimi peke yangu sijamlala!
 
Sasa hiyo pole unayompa ni ya nini kama mtu anaingilia ndoa ya watu? Huyu mtoto ni wa kufanyiwa maombi kwani inaelekea ni mchafu kupindukia- kwa wanaume wa dar labda ni mimi peke yangu sijamlala!
hapo ndio ujue kuwa kiasi kikubwa cha pesa za tz ziko kwenye mikono ya watu wasiostahili kuwa nazo!
 
inawezekana ikawa kweli. lakini hizo gari ulizoweka hapo ndo kanyang'anywa au? Muache kutia chumvi. weka picha za tukio kama hauna weka habari bila picha utaeleweka vilevile. yaani umeandika kama unaandika udaku so inakua ngumu kuamini. tuwekee picha za tukio tuone hizo difenda na bastola ya huyo mama. samahani kwa usumbufu mkuu.
 
Back
Top Bottom