Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,336
Anataka kuvunja ndoa yetu huyu.
Achana naye twenzetu tukapate hii makitu. Tena asije kula na sisi, tumtenge.
Tabia mbayaaa, nna njaa mwenzio ujue.............natamani sana hii makitu
Anataka kuvunja ndoa yetu huyu.
Achana naye twenzetu tukapate hii makitu. Tena asije kula na sisi, tumtenge.
Anataka kuvunja ndoa yetu huyu.
Achana naye twenzetu tukapate hii makitu. Tena asije kula na sisi, tumtenge.
Umoja na mshikamano kifamilia zaidi.....!
Umoja na mshikamano kifamilia zaidi.....!
Kama vipi tukamtafune hii makituTabia mbayaaa, nna njaa mwenzio ujue.............natamani sana hii makitu
Jamani Wana ChitChat Buriani na kwaherini,
Naelekea Jukwaa la Siasa.
mi nilishasema mashindano staki bana si nilikua wiki ile nkala za uso sa nin tena hapa jamaniiii. Haya kundi A my sista madame n kundi B shost charming lady, cath my wifi hatoshiriki
my wi, kila wiki tunasindikiza wenzetu. Hahaha! Bora tugome kushiriki.
Kama vipi tukamtafune hii makitu
Afu tukishiba tunashushia na hii makitu.....
Bado hunipendi tu?
Haya nipe mmmwaaah yangu fasta!!
vip hujapona ule ugonjwa wako wa kifafa,naona kama kimepanda!maana kipindi kile naish na wewe ulikua ukipanda mala unaniaga unaenda kulala makaburini,mara ulale choon,mara unaenda kulala kwenye kigodoro,leo naona unahamia siasa
kura zimefungwa saa 15:00,kura ya mwisho ni ya Young Master ,tunaenda kuhesabu kura.dont vote again