Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Mdogomdogo swahiba.... Vuta pumzi.

attachment.php


hahahaha. Sawasawa Kidonge. Halafu hyo ndo inafaa kuwa Avatar yako
 
Nimeshaona kuna rafu humu na watu wamepiga kura mara mbili.

Kama haki haitatendeka tutakutana mahakamani!
 
Remmy ana kura yangu na Yummy pia anayo accordingly
Hommie Kaizer unaweza kunipa sababu tatu kuu za msingi kwanini umempigia shem wako Yummy ukamuacha mke mwenzie BADILI TABIA? Imefikia hata wewe unapinga maamuzi yangu ya kuwatoa mashindanoni wake zangu ambao ni wajawazito? Hivi hommie wake zangu yaani hawa ma-Mrs unataka kweli washindanishwe na hivi vibikira?

Futa kura yako amasivyo Navunja undugu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom