Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,404
920
Habhari yenu wakubwa.
Ifuatayo ni orodha ya wanaowania/walio pendekezwa kushindania lile taji la miss chitchat mwezi sept,yapo makundi 2(A na B) :- Orodha kundi A ni Orodha kundi B ni- unatakiwa kupiga kura kwa mtu mmoja kwa kila kundi,mshiriki anaruhusiwa kujipigia kura,unaruhusiwa kumpigia/kujipigia debe ya kuomba kura,mshindi wa kundi A atakunishwa na mshindi wa kundi B kwenye fainali ili kumpata miss,piga kula kwa mfumo ufuatao:- kundi A ni....... Kundi B ni.......NAWASILISHA
 
Last edited by a moderator:
Nakumbushia tu,one member one vote,one vote=jina moja toka kundi A na jina moja toka kundi B.ntashukuru kama tutatoa ushirikiano kwa kufata masharti
 
mi nilishasema mashindano staki bana si nilikua wiki ile nkala za uso sa nin tena hapa jamaniiii. Haya kundi A my sista madame n kundi B shost charming lady, cath my wifi hatoshiriki
 
Kundi A ni Madame B
kundi B ni charminglady

shemeji nimependa jinsi ulivyoweza kufata utaratibu,mambo vip lakini shemeji langu?habari za tandale kwa mtogole?wazima huko uwanja wa fis?
 
mi nilishasema mashindano staki bana si nilikua wiki ile nkala za uso sa nin tena hapa jamaniiii. Haya kundi A my sista madame n kundi B shost charming lady, cath my wifi hatoshiriki

jamani shemeji,kwanini unapenda kulalamika?wakati wa kula walalamika,wakati wa mashindano walalamika,wakati wa kwenda out walalamika wakati wa kudo/mech walalamika dah! Judgement anakazi ila anafaidi maana wanawake wanopenda kulalamika watamu hao!
 
Last edited by a moderator:
Kundi A ni mimi mwenyewe Remmy. so mpinzani simchagui.

ha,ha,ha ...umeniacha hoi Remmy naomba bas uchague na mwenza toka kundi B ili kula isiharibike,kumbumbuka anatafutwa mshindi toka kila kundi ili mchuane fainali.please vote bas
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,ha ...umeniacha hoi Remmy naomba bas uchague na mwenza toka kundi B ili kula isiharibike,kumbumbuka anatafutwa mshindi toka kila kundi ili mchuane fainali.please vote bas

Itabidi nimchague asiye na vigezo vya kutosha ili asiwe threat sio?
 
Itabidi nimchague asiye na vigezo vya kutosha ili asiwe threat sio?

wewe ni kisura jiamin Remmy ,kujiamini ni hatua moja ya kushinda,lakini pili omba kura kwa member.
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom