Piga kura, piga kura, piga kura, piga kura!, piga kura!,.........Miss chitchat sep NUSU FAINAL

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Habari yenu bhana

Hii ni mashindano ya kumsaka miss chitchat wa mwezi September.Bado tupo katika ngazi ya nusu fainal,washindi wawili watakaopatikana hapa ndio watakao ingia kuchuana Fainal.
171269d1258353828-crown1.gif
171268d1258353779-continnental-gold-amethyst.jpg

Unaombwa kuchagua mtu mmoja toka kila group ili kuwapata washiriki wawili ambao wataingia Fainal.Washiriki ni kama wafutao katika magroup yao:-

GROUP A
1. CUTE
2. Madame B
3. nivea
4. Preta
5. Yummy

GROUP B

1. charminglady
2. Arabela
3. Catherine
4. sweetlady
5. king,ast
MASHARTI YA KURA NA JINSI YA KUPIGA KURA

1. utachakua jina moja toka kila group Mfano (group "A" cute Group "B" chaminglady)
2. KUMBUKA kura harali ni ile iliyotaja majina moja kwa kila group
3. KUMBUKA one vote one member,endapo utapiga kura zaidi ya moja itahesabiwa moja ya kwanza tu.
4. washiriki wanaruhgusiwa kujipigia kura,kuomba kura,kufanya kampeni za kuomba kura
5. Mwisho wa kupiga kura za nusu fainal ni tarehe 30sep saa saba mchana.

Baada ya kuwa tumewapata wawili watatangazwa katika thread hii hii na baadaye kutakuwa na thread nyingene ya Fainal.Natanguliza shukrani na natumaini utatoa ushirikiani.Ahsante

UPDATE
Ninaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Aidha Tunaongeza Muda wa kupiga kura hadi kesho ya Jumatatu saa mbili kamili jioni,kwa kuwa kumejitokeza kasoro
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Ruhazwe JR mimi kura yangu group A inaenda kwa Madame B na group B inaenda kwa Arabela,ila nishakwambia mapema Arabela asipoingia fainali kutakuwa hapakaliki humu, hivyo hebu fanya maarifa kidogo kuna mshiko nimekuandalia....
 
Mie nishachoka kuwa msindikizaji jamani, lol... Namchagua Madam B na King'asti...
sweetlady najua hupendi hizi mambo... Halafu king'ast naomba feedbck kama ile kazi uliyonipa nimeifanya vema.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa na Arushaone nisipowaona hapa kwenye Kura,
adhabu yenu ni kuwalalia Mzungu wa 4 usiku huu.
 
Wangu tafadhali usiharibu mashindano kwa kunihusisha na Arushaone pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ruttashobolwa na Arushaone nisipowaona hapa kwenye Kura,
adhabu yenu ni kuwalalia Mzungu wa 4 usiku huu.
 
mkuu kwanini unachakachua? Ruhazwe JR umeniudhi sana. acha sera za kiccm.
kwanini usiorodheshe majina kistaarabu?
Ungeandika hivi:
GROUP A:
1..
2..
3..
4..
5...
GROUP B;
1..
2..
3..
4..
5..
halafu baada ya hapo useme tuchague jina moja kila kundi hapo ingekua mpango mpango. unaweka namba mara mbili mbili ili kutuchanganya?
Halafu CUTE na Remmy walisha jitoa kwanini umemuweka? mbona unamuwekea kauzibe Madame B?.
Hata hivyo namchagua
madame na King'asti. mia
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Ruhazwe JR mimi kura yangu group A inaenda kwa Madame B na group B inaenda kwa Arabela,ila nishakwambia mapema Arabela asipoingia fainali kutakuwa hapakaliki humu, hivyo hebu fanya maarifa kidogo kuna mshiko nimekuandalia....

hahahaaa..!!. afadhali umeharibu kura. Punguza mapepe. chagua mtu mmoja kila kundi lol..!! hahaaa..!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaleta matani wakati watu tupo serious?. taja mtu kutoka kila kundi vinginevyo unakua umeharibu kura. ndo maana umeona hapa Paka Mweusi na mwezie Arabela wameharibu kula zao kwa kutaja watu kutoka kundi moja. waache wala usiwastue. mia

Nisamehe sana.
Nimekoma kudandia mambo ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom