Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Nawe kwa Ugoni hujambo,
ulikuwa wapi jamani?
Nimeikosa kura yako hv hv,
BTW mzima?
Thanks.

Nilikuwepo toka jana usiku nakutafuta mpaka mwanasheria ametishia kunifikisha mahakamani, usihofu kura yangu hujaikosa si unaona muda huo,nimepiga dakika moja kabla ya saa tisa alasiri na asipoihesabu Lundenga ajitayarishe kuwashwa miezi sita mfululizo
 
Ndo mana yake,
mwambie 'Hapa Stori tu...kula kwenu'!!
 
Nikiitoa hii avatar ya sasa mwaJ, AshaDii na Mamndenyi wataniua. Wana mahaba na haka ka avatar kangu ka sasa...

Afadhali kwa kulitambua hilo. Hiyo avatar ndio Asprin wa ukweli. Ukiibadilisha niko tayari kuandamana tena sitajali maji ya kuwasha wala mabomu ya kilialia!

Hizo kura zinapigwa kwa siku ngapi? Mie siioni kadi yangu ya kupigia kura.
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom