Fainaly ya Miss chitchat November piga kura hapa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wasalam
Baada ya kumaliza nusu fainaly,tunaingia katika hatua nyingine ya kumsaka mshindi wa kwanza amabye atakua Miss Chitchat na kuibuka na muda wa maongezi wa Tsh 7,000/= .Pia Mshindi wa pili ambaye ataibuka na Muda wa maongezi wa TSH 2,000/ na mshindi wa tatu atajipatia muda wa maongezi wa TSH 1,000/=

images

Washiriki ni
1. charminglady
2. Arabela
3. Ciello
4. lara 1


Jinsi ya kupiga kura/mashart
a/one member one vote,
b/endapo utakosea kupiga kura unatakiwa kuedit post na si kurudia kupiga kura
c/washiriki wanaruhusiwa kujipigia au kumpigia wamtakae
d/kufanya kampeni ruksa
e/mwisho wa kupiga kura ni kesho ya terehe 02 november saa tatu kamili usiku

Zingatia mashart ili usiharibu kura yako.
ahsanteni sana

UPDATE
Tunaomba washiriki watujulishe mapema mitandao wanayotumia katika mawasiliano ili tufanye maandalizi mapema ya zawadi,ahsanteni mnaojitokezakupiga kura naendeleeni kuhamasisha member wengine kupigakura,kumbuka kura ya mwisho ni ile ya saa tatu kamili usiku wa leo.baada ya hapo itakua ni kufanya majumuisho ya kura kisha kumtangaza mshindi na kuwa PM zawadi zao kwa watakao kuwa wamebahatika kushinda.Thank you
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 lazima nijoin the winning team, na the DREAM TEAM!!!!!!!! (Jst my marketting aspects i guess)
 
Back
Top Bottom