Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

poa 2 shemeji, me nipo, mbona wanshusha hadhi? Me ckai tandale bwana, kwanza hata cpajui, halafu naona cku hzi dogo kapata mme mwengine, ila me cjatambulishwa, so nakujua ww.

ndio,kapata zee flani hiv ni li-advocate,hajakutambulisha kwakua walibebania kwenye kigodoro wakiwa wamelewa,zee lenyewe halina makazi maalumu kifupi dogo wako ndio kaoa si kuolewa.hata hivyo siunajua ushemeji haunaga taraka?
 
advocate kwa staili hii na mkeo Madame B nimjuavyo mbona utawakamata wengi!anyways inaonekana sikuizi umemnyosha maana nikikutananae kwenye kigodolo anakua mnyonge hukua ananitizama kwa upole akiwa ananimezea mate

Ushindwe na ulegee,
Miaka yote nimeishi Dubai,haya iko kigodoro umeniona saa ngapi?
Hubby ruttashobolwa hebu peleka huyu mwandaaji Lokapu.
 
Last edited by a moderator:
Waooo my Beib huyooo!!
Ila hli shindano ni full kuchakachuana,
tutaja mvunja kiuno "Hashimu Lundenga" siku ya fainali.

mmmh!..toba! huko ninakoelekea itabidi kununua nguo za zege au chumu maana dalili za kichapo zipo njenje,kuna hatari unatangaza matokeo huku umesimama kwenye mlango wa kutokea ukumbini,au dirishani
 
Sorry Madam can i ask you ?
Ok !
I'm just need wilingly to know what does it meaning a word Mtogole ?
Is't a some medics? Like Tablets ? Pills ? Capsule ? Or type of liquid syrup ?
Or some local medicine ?

We nawe Jdg uko dunia gani?
Kwa Mtogole ni Eneo tulipokaa kambi wana MissChitChat.
Unakaribishwa kuja kututembelea.
 
poa 2 shemeji, me nipo, mbona wanshusha hadhi? Me ckai tandale bwana, kwanza hata cpajui, halafu naona cku hzi dogo kapata mme mwengine, ila me cjatambulishwa, so nakujua ww.

Na wewe Kijino usilete za kuleta,
zile dola miamia nilizokuwa nakupa unafikiri nilikuwa nachuma mtini?
Wakati nipo na Ruhazwe ulikuwa unaijua dola wewe?
Habari ndo hyo.
Nimetua kwa pedeshee Ruttashobolwa,
nilichoka kuishi kimaskini na Ruhazwe.
 
Last edited by a moderator:
mmmh!..toba! huko ninakoelekea itabidi kununua nguo za zege au chumu maana dalili za kichapo zipo njenje,kuna hatari unatangaza matokeo huku umesimama kwenye mlango wa kutokea ukumbini,au dirishani

Yani siku ya fainali,
itakie buriani kbs familia yako,
kuna mawili,
kurudi mzima lakini kilema au Kufia ukumbini.
 
Yani siku ya fainali,
itakie buriani kbs familia yako,
kuna mawili,
kurudi mzima lakini kilema au Kufia ukumbini.

nashukuru kwa taarifa,ngoja nifanye mpango wa kutangaza kwa mshindi nikiwa nimejipotect fya kutosha,si unajua wadhami wa shindano hili ni watengenezaji wa silaha nzito ikiwemo na mabomu ya nuclear
 
nashukuru kwa taarifa,ngoja nifanye mpango wa kutangaza kwa mshindi nikiwa nimejipotect fya kutosha,si unajua wadhami wa shindano hili ni watengenezaji wa silaha nzito ikiwemo na mabomu ya nuclear

vodacom kazi ni kwako
 
Mh mchuano mgumu my sister eversmiling na shost madame B mh nkijipigia kura ntakuwa mbinafsi nkiwapigia najiangusha
 
Back
Top Bottom