Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Hee! Siku hizi hata wake za watu wanashiriki umiss?? Anyways......watupie maphoto basi hapo tucheckshie mapouzzz yooh!! Lol
 
jamani shemeji,kwanini unapenda kulalamika?wakati wa kula walalamika,wakati wa mashindano walalamika,wakati wa kwenda out walalamika wakati wa kudo/mech walalamika dah! Judgement anakazi ila anafaidi maana wanawake wanopenda kulalamika watamu hao!

Ruhanze mi shem sijalalama ila meelewesha umma tuu na suala la utamu msubiri jg aje
 
Last edited by a moderator:
jamani shemeji,kwanini unapenda kulalamika?wakati wa kula walalamika,wakati wa mashindano walalamika,wakati wa kwenda out walalamika wakati wa kudo/mech walalamika dah! Judgement anakazi ila anafaidi maana wanawake wanopenda kulalamika watamu hao!

We mchawi nini ? Umejuaje ?
Naona upo sahihi mno!
 
kwanza najipigia kura, pili namchagua @smilling Gal awe mshindani wangu. afu cjamwona huz MtotoSix plz cum ths way unipe kura yako afu me nakupa kula kwangu mpaka cheee. . .
 
Last edited by a moderator:
Mi sij judge? Siruhusiwi kupiga kura

mkuu tunazingatia masharti yaliyotolewa,hakuna mahala pameandikwa kuwa kundi flani harusiwi kupiga kura,kura yako ni muhimu sana kama itakwenda kwa Remmy na mwingine utachagua
 
Last edited by a moderator:
mkuu tunazingatia masharti yaliyotolewa,hakuna mahala pameandikwa kuwa kundi flani harusiwi kupiga kura,kura yako ni muhimu sana kama itakwenda kwa Remmy na mwingine utachagua

Kundi A bidada Arabela,
Kundi B shostito Yummy.
 
Last edited by a moderator:
Hee! Siku hizi hata wake za watu wanashiriki umiss?? Anyways......watupie maphoto basi hapo tucheckshie mapouzzz yooh!! Lol

Kipipi tunakuomba sana upige kura,kwani kura yako ni muhimu sana please vote any
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom