Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii...

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
ANGALIA VIDOLE VYA HAO WATU WANAOSHANGILIA KWENYE HII PICHA.

M.jpg



UPDATE:

Wadau wengi wanamtetea Masanja kuwa hawezi kuwa Masonic Worshiper, wengi wanadai hana mshiko kama freemansons wengine...
Wengine hawajui ninachozungumzia ni nini, ninazungumzia alama za vidole viwili vinavyoonekana,

alama hii inaitwa HORN OF DEVIL, au pembe za shetani, ni moja kati ya alama zinazotumiwa na masons.

hastings-metalfingers.jpg

Baphomet_small.jpg

HORNSUP-2.png


satan_goat.jpg
 
huyu jamaa sijui, lakini hiyo alama ya vidole ni ya Freemasson, wengine waweza kuchangia katika hilo mi nakomea hapa
 
Nadhani hajui alitendalo.Hiyo alama bado wengi hawajui maana yake.
 
conspiracy theory?? mtaangaika sana! je hamzijui amri? usiue, usiibe, usizini, usitamani, usimshuhudie jirani yako uongo? wasiozifuata ndo freemanson, tena wako wengi wengine juzi juzi tu wamechoma maduka, makanisa na mabaa huko nchi jirani
 
conspiracy theory?? mtaangaika sana! je hamzijui amri? usiue, usiibe, usizini, usitamani, usimshuhudie jirani yako uongo? wasiozifuata ndo freemanson, tena wako wengi wengine juzi juzi tu wamechoma maduka, makanisa na mabaa huko nchi jirani

nchi jirani!!!!!!! kweli jf kuna vituko
 
kwan masanja hawez kuwa freemason? naona wengi mnasema ameiga tu kuweka hyo picha...
mi sijui ila hzo alama ni za freemasonry
 
ANGALIA VIDOLE VYA HAO WATU WANAOSHANGILIA KWENYE HII PICHA.

M.jpg


huyu jamaaa ukiwa unaangalia kipindi chao siku hizi huwa anaishara tata sana, mimi niliwahi kuhisi ni mtata sana huyo, halafu hata wewe hiyo avatar yako mbona inautata inamaana umekosa avatar zote duniani umeiona hiyo tu

jina lenyewe mamaaa weee mhhhh mmmmhhhhhhhhhhhh au unafanya marketing?
 
kwenye spider man jamaa anafanya ishara hiyo na web zinatoka. watoto wetu nao wanamuiga sterling wao (spiderman). nao ni free mansons? hawa hawana habari na free manson. jamaa jaipaste tu hiyo picha na kuiweka kwenye blog yake. akijulishwa maana yake usishangae akaitoa mara moja
 
Back
Top Bottom