Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii...

Kiukweli Freemason ina waumini wengi sana lakini ni ngumu kuwajua kutokana na jinsi wanavyoendesha dini yao kisiri sana. Kiukweli simpendi mtu anayeonyesha alama ya Freemason ya vidole viwili yaani kidole cha kwanza na nne kutokea kidole kidogo cha mwisho kabisa. Lakini hiyo ni ishara ndogo sana kumhukumu mtu kuwa ni Freemason naomba nieleweke Freemason ni dini hivyo muumini yoyote wa DINI NI MATENDO, imani pasipo matendo imekufa!
Swali la kujiuliza matendo ya Masanja ni kiFreemason.
 
Hizo alama za kuonyesha kidole cha nne na cha kwanza naona sana kwenye matamasha ya bendi maarufu ya heavy metal kutoka Uingereza inayoitwa Iron Maiden,wengi huishutmu hiyo bendi kuwa inaabudu imani za kishetani na hakika hiyo nyomi yake kwenye hayo matamasha yake huwa inanishangaza huenda nao wana mkono wa Freemasons,siku kila ukiibukia umaarufu fulani au utajiri ghafla unaambiwa ah huyo ni Freemasons.Embu wajuzi zaidi mtueleweshe zaidi si ajabu mtu akatoa ishara za Freemsaons bila kujua ,
 
Kwanza io picha lazma tukubaliane imetengezwa. Pili kuwa mshirika free M ni hiari ya mtu. Tatu kuwa mshirika free M si kuwa tajiri au kuwa na mali mingi, washirika wa free M ni wengi sana kuliko unavodhani kuwa lazima wawe na pesa. Unaweza ukajiunga nao ukapewa majukumu tofauti na ulivotarajia.
 
Sidhani kama ni free mason na sidhani kama hata hawa free masons anawafahamu!
 
Nachojua masanja kaokoka siku hizi, hayo ya free manson sijui hata kama anayakubali. Saingine tusipende kuumiza vichwa vyetu bure.
 
Kwa hiyo unataka kutuambi watu wengine haturuhusiwi kuweka madoido ya vidole? Acheni hizo bana.
 
Freemasons ni imani ya kishetani,shetani anaweza kukuingia kwa kujua ama kutokujua kwa kutumia v2 vinavyomvutia kama alama zao'dawa zao na v2 kama picha za kutisha hivyo unaweza kuwa freemason kwa mambo yako ila hupewi kazi,wala kubenefit kwa kuwa hivyo hadi ujiunge au shetani likulazimishe.
Ni kama mashetani ya kawaida unaweza pata shetan lakn hakudhuru na wewe hujui hadi uone madhara yake ni ameamua uyaone i hope nimeeleweka.
 
Freemasons ni imani ya kishetani,shetani anaweza kukuingia kwa kujua ama kutokujua kwa kutumia v2 vinavyomvutia kama alama zao'dawa zao na v2 kama picha za kutisha hivyo unaweza kuwa freemason kwa mambo yako ila hupewi kazi,wala kubenefit kwa kuwa hivyo hadi ujiunge au shetani likulazimishe.
Ni kama mashetani ya kawaida unaweza pata shetan lakn hakudhuru na wewe hujui hadi uone madhara yake ni ameamua uyaone i hope nimeeleweka.
kwahiyo kupenda picha za kutisha ni ushetani? Ni Arts kama arts nyingine zilivyo. Acheni kuhukumu 'kitabu kwa kukiangalia'. Shetani anaweza akawa hata mwanadamu mwenzako... Kama unaamini kumjua mwanachama wa mashetani ni kuangalia signs zake, ungewahukumu mpaka wakatoliki, waislamu, serikali ya TZ, mitandao ya kijamii, Television, na baadhi ya vinywaji. Hii dunia iache kama ilivyo. Ukiwa kila kitu unatanguliza neno 'freemason' hautaendelea, utajikuta unaona mpaka dini yako inamaovu. Fight na nafsi yako. Usihukumu watu. Mimi ni mpenzi wa picha za kutisha, lakini haimaanishi ninawasifu freemason. Hapana, fight na moyo wako, NWO lazima itawale, na haipingiki. Ujue kuwa kadi zote za simu na visa cards ukizichunguza kwa xray utaona chips zake zina kichwa cha mbuzi. Lakini tunazitumia tu, haimaanishi tunamuunga mkono shetani. Alama ni mtu mwenyewe anavyoichukulia na kumaanisha kilichomfanya akaitumia. Narudia tena..FIGHT NA NAFSI YAKO!
 
Yeye ni Mlokole ina maana hata roho wa MUNGU hamshuhudihi kuwa alama hiyo ni ya shetani pembe kama ni kweli?
 
ANGALIA VIDOLE VYA HAO WATU WANAOSHANGILIA KWENYE HII PICHA.

M.jpg



UPDATE:

Wadau wengi wanamtetea Masanja kuwa hawezi kuwa Masonic Worshiper, wengi wanadai hana mshiko kama freemansons wengine...
Wengine hawajui ninachozungumzia ni nini, ninazungumzia alama za vidole viwili vinavyoonekana,

alama hii inaitwa HORN OF DEVIL, au pembe za shetani, ni moja kati ya alama zinazotumiwa na masons.

hastings-metalfingers.jpg

Baphomet_small.jpg

HORNSUP-2.png


satan_goat.jpg

Katika kubadilisha channel za tv nimepitia channel ten na mzee wa upako yuko hewani. Kwenye background screen naona alama ya PEMBE TATU kwa rangi ya blue kama hii ya FREEMASONS. Mzee wa upako kama upo humu ndani nifafanulie maana ni wewe pekee uliye na jibu la dukuduku yangu.
 
Jamani mbona kama hizo alama nyingine ni za VIZIWI? Au nao wamekua waabudu shetani? No. nakataaa
 
Upuuuuzii mtupu, ni upuuuzi kujadli mambo ya freemason mambo ambayo hamna hata m1 mwenye hakika nayo na wabongo sijui dini za sikuhizi na magazeti ya shigongo ndo yanawajaza upuuzi wa fm na kugeuza kila kitu kua freemason. Narudia tena ni upuuuzi kuongelea mambo ya freemason.
 
Mimi nawasauri msifungwe mkashindwa kuwa huru kuvitumia viungo vyenu na hasa vidole eti kwa kuogopa kuitwa free mason. kumbuka sio kila anyoshaye mikono juu amaanisha kusalenda na pia kumbuka kuwa kunyoosha mikono juu ni ishara ya kusalenda. Hivyo kwa ishara yoyote utoayo inategemeana na kusudio la tafsiri ya moyo wako. Ikiwa ni kuenzi freemason au uhuru wa kawaida wa kutumia vidole na mikono yako
 
afu ana taka kuwa mchungaji,....
Hata mimi siamini kwamba anazielewa vema alama za Freemasons, lakini kuhusu sualala yeye, hata kama ni freemason kuwa mchungaji au sheikh linawezekana kabisa kwani hata sasa tunao mamia kwa maelfu wa wachungaji, maaskofu na masheikh wanaojidai wanamhubiri Mungu kumbe ni mafreemasons wakubwa! Hawa huwa na mivuto ya ajabu na kuwafanya waumini wao wapumbazike mithili ya walevi wa bangi, huwaamini kiasi cha kutisha na kuwachangia "wachungaji" na viongozi wa aina hii kwa kila walicho nacho kiasi cha kuwafanya matajiri na wenye nguvu katika kipindi cha muda mfupi kabisa. Ila umaarufu wao nikamamoto wa nyika ambao haudumu sana na huishiwa nguvu baada ya muda fulani.
 
M2 anaesema cjui kanumba,cjui Diamond o Wema... ni mason is nothng but a retard(i،m srry no offence),not just for th fact that masonic is a secrete society but it،s also for the people with POWER to change the globe! Anyways whatever. Afu masanja bana ID yake naijua nimuite nisimuite...
 
Back
Top Bottom