Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii...

nilichokiona hapo hyo picha ya nyuma kwenye bckgrnd ambayo watu wanashangilia na hyo ya yeye mwenyewe,ni ujanja mdogo wa photoshop.hakuna freemason hapo
 
ANGALIA VIDOLE VYA HAO WATU WANAOSHANGILIA KWENYE HII PICHA.<br />
<br />
<img src="http://1.bp.blogspot.com/-olRpAEQSDvo/TZRRHpPABiI/AAAAAAAAAhw/rgE--QjKFX4/s1600/M.jpg" border="0" alt="" />
kasome asili ya hiyo alama ya mkono.. Ni alama inayotumika hata kwenye show za live, mshabiki anazitumia kuonyesha 'love', na ukiichunguza imekaa kama love ukitanua vidole. Pia hutumika ktk rock music kumaanisha guitar (imekaa kama kichwa cha electric rythmic guitars). Freemason sio kuangalia alama, freemason ni kuangalia imani ya mtu. \m/
 
Hao watu wanaoshangilia clip hiyo imetolewa kwenye 'rock live show'. Hiyo alama hata rockers wanaitumia kumaanisha guitar... Sio tuangalie maana moja tu ya hiyo alama... Kuna maana nyingi sana kuitumia hiyo alama.
 
Hana hela huyo, free masons wanahela bwana! wapo protected, wasiri, ila hiyo picha na vidole vya wafuasi utadhani wenyewe!!! AMA WAFUASI TU KWA KUSHABIKIA
 
Nafikri hakujua maana yale. Hata hivyo wewe uliyegundua , you must be........
 
Angalia mlegezo ulivyotapakaaa! hivi na wavaa milegezo wote ni mashoga? Acheni hizo jamani nahisi huyo amefurahia hivyo vidole akaweka tu.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Back
Top Bottom