Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii...

ah! mi haya mambo yananizingua tu,kama yanayosemwa kuhusu wajenzi huru ni kweli,basi wengi tutaingia bila kujua,oh God!
 
katika kubadilisha channel za tv nimepitia channel ten na mzee wa upako yuko hewani. Kwenye background screen naona alama ya pembe tatu kwa rangi ya blue kama hii ya freemasons. Mzee wa upako kama upo humu ndani nifafanulie maana ni wewe pekee uliye na jibu la dukuduku yangu.

bendera ya taifa teule
 
Yawezekana ikawa kwel mana wabongo kwa kutaka vyakirahis ni wepes,bt satan hatawamaliza

Watanzania tunapenda sana mtelemko ndo maana mawazo yetu yanangalia sana jinsi ya kufanikiwa kiuraisi kiasi cha kufikiria upuuzi huu na baadae hata kuwa mashoga
 
mi mwenyewe nimejikuta hiyo alama ninaifanya mara nyingi tu, ila akilini mwangu hakuna muda nakaa nafikiria freemason...
 
Back
Top Bottom