Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

Mbona huju kwa point niliokuulizaaaaa na unijibu na ndio maana nkakuambia zitaje hizo mbuga zenye guest huko porini me najua fika na ndio maaana nakuambia taja. we wataka kunia mbuga ziko mjini siku hizi na kuna guest??

mkulu najua nachokisema na natambua vyema mbuga za TZ sasa usilete league mkuu we taja izo guest zako huko mbugani kwanza na majina ikiwezekana, Au ulitaperiwa nini??

Hujamsoma vizuri huko juu? alishaweka stop ya kulumbana na wewe! Ebo!
 
ethro
user_online.gif

jethro has no status.
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Mon Mar 2009
Posts: 135
Thanks: 0
Thanked 25 Times in 18 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif


Afu Jethro uangaliage na hicho kitufe, ukibonyeze as appropriate,eeh
 
ethro
user_online.gif

jethro has no status.
Senior Member

red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png


green.png

green_right.png
Join Date: Mon Mar 2009
Posts: 135
Thanks: 0
Thanked 25 Times in 18 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif


Afu Jethro uangaliage na hicho kitufe, ukibonyeze as appropriate,eeh
umekula sensksi yako hapa shemeji!mimi sina hiana ni senksi mpaka mbugani
 
Nipo tafadhali was away due to technical difficulties...............
 
hapo nahisi mlitaka kuniacha, mmeona leo nilikuwa kuleee kwenye wabishi asilia nafanya mazoezi ya kidhungu.
HALAFU WEWE MPWA WA KUJITENGA SANA!kwanini lakini?
leo unaenda kumwona mr NICE?
 
I am afraid nitakuwa honey moon na bint Zeenj! Next time nitakuja na katoto ketu....Usi ama Makame!
 
Tuko pamoja nasubiri eneo latukio, hata visiwa vya comoro watu tunaenda.
 
naunga mkono mia kwa mia!

kwa sasa niko nje ya nchi, lakini kwa kifupi kama itakuwa convenient, nitafurahi kushiriki. nilikuwa na mpango kama huo siku za nyuma, yaani ku-organise kitu kama hicho, lakini muingiliano wa mambo uliniwia vigumu. nataka mpango mzima uwe endelevu. niliwahi hata kupata ahadi ya kufadhiliwa mabasi ya kitalii kutoka china kwa ajili ya jambo hilo.

kwa kifupi nilifika mahali nikatengeneza network ya kukamilisha mpango mzima. wazo lile halijafa, niliamini muda ukifika nitalisimamia kwa manufaa ya vizazi vyetu na vijavyo. nilitaka wigo upanuke, twende mbali zaidi. nitaeleza zaidi hili baadaye.

nafurahi kusikia uko tayari kusimamia ogistics huko dar. kama tutaelewana naweza kukuunganisha na watu wangu huko dar wasaidie kufanikisha jambo hilo.

kwa melezo zaidi, tuwasiliane treshonberry2@gmail.com

i wish you all the best
 
Back
Top Bottom