Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
- Thread starter
- #101
MKuuu,
Tatizo sio kwenda tuuu kwenda twaweza kwenda ila mzeeee gharama za kule porini au kwenye mbuga zetu usipaime ziko juuu twapishana kidogo sana na watariii wa nje,
Nyie amjiulizi kwanini utarii wandani wanaupigiaaa keleleeee weeeee oooh mbona watanzania amwendi ni gharama ndizo kubwa kaeni mkijua hilo. waulize wadau wa Arusha kama wengi wao huenda hata 20% ya wakazi wa arusha waendao mbugani inafika
Thnkx
mkulu apo ungemwaga dataz kabla ya kuconclude, kiingilia kwa watanzania kwenye Mbuga zetu nyingi ni 1,500/= kwa siku...(bei ya bia moja hapo tena za kiswahili hizi sio zile), so ukilipa hilo una access ya vivutio vyote kwa siku
gharama za kwako ni usafiri kufika kule na sehemu ya kulala. Sehemu nyingi za mbuga zetu kuna hoteli na guest karibu karibu ambazo ni affordable kwa mtu wa kawaida. wazungu wenyewe kikiwachachachia wanaendaga huko kutoka kwenye lodges. Hao wanaitwa back packers.
So sioni ni kwa nini with prio notice kama hii bado mtu uhofie gharama. Ni lini tutajifunnza kwenda likizo au hatutaki kumuiga JK?
Cha kuangalia hapo ni wapi pa karibu kama fweza inagomba, unaenda unakula raha unarudi fresh hata moyo wa kujenga nchi unakuwepo!
haya vipi unaenda ama hutaenda? LOL