Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

Nakubaliana na wewe lakini hashushwi tu nyumbani kwako ila lazima na wewe uchakarike kwenye matukio kama hayo...!!
Inawezekana ,Lakini lazima uwe na macho ya kuona na masikio ya kusikiliza,Vinginevyo!!!! Ndugu yangu unaweza pata bora mke/mme!
 
Sorry Mpwa kwa kumtoa nje ya mada ila ni katika kuhabarishana tu!!

You better watch your steps when you are dealing with her, young cousin. I love the girl for God's sake! Hahaha! Unaweza kusema nna kawivu kabaya au siyo? (Sorry, off point)!
 
You better watch your steps when you are dealing with her, young cousin. I love the girl for God's sake! Hahaha! Unaweza kusema nna kawivu kabaya au siyo? (Sorry, off point)!
You can say it Again!! Lol!!
 
hehehe!you are almost dhea!unaweza muomba fl1 akusindikize toilets za HE..(kama ilivyo desturi ya zero-pub) AKASHINDWA KUELEWA!kwangu mimi itakuwa embarrassment kubwa sana!hehehehehe!pale zero tunasindikizwa toilet na tunaweza kaa huko hata 40mins:D
Geoff unadhani mie ni semenya au Bodigadi wa ZD?
 
Wazo zuri. Count me in too...

MKuuu,

Tatizo sio kwenda tuuu kwenda twaweza kwenda ila mzeeee gharama za kule porini au kwenye mbuga zetu usipaime ziko juuu twapishana kidogo sana na watariii wa nje,

Nyie amjiulizi kwanini utarii wandani wanaupigiaaa keleleeee weeeee oooh mbona watanzania amwendi ni gharama ndizo kubwa kaeni mkijua hilo. waulize wadau wa Arusha kama wengi wao huenda hata 20% ya wakazi wa arusha waendao mbugani inafika

Thnkx

 
Back
Top Bottom