Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,822
Wakulu naona hili linahusiana nzaidi na mahusiano na urafiki,

Nimepata wazo mi na wenzangu kadha wa kadha kuwa ingekuwa vizuri kama siku zijazo sisi kama marafiki basi tukajiopiga piga tukaenda kutembelea mojawapo ya Mbuga zetu ili kujipoza na machungu ya nji hii yasiyo na dalili za kupungua.

kwa nini waende wadosi na wazungu tu? hata sisi tunaweza. huenda kuna ambao hawajawahi kufika, itakuwa vizuri kujua utajiri wetu ulivyo kwa upande huo ili tujua tunapigania nini hasa.

kwa wale wanaopunga mkono hoja please hebu gongeni senks kisha tujadiliane namna ya kuorganise hii kitu (for those brave enough). Najitolea kufanya reconnaisance and all sorts kisha nitaweka dataz hapa.

karibuni

UPDATE 1:

Marafiki, wapwa na mabinamu, planning inaendeela vizuri, tunategemea kuelekea Mbugani jumamosi hii yaani tarehe tano mwezi wa kumi na mbili. Kamati ya usafiri uko very busy na by kesho tutakuwa tumeshakamilisha hilo . Masuala yanayohusu exact location pamoja na costs naomba tafadhali tuwasiliane PM kwa wale walioko serious tu. Hatuwezi kuziweka hapa, kamanilivosema mwanzoni, kwa sababu zilizo wazi kabisa.

Napenda niwashukuru wale wote ambao tumekuwa tukishirikiana katika planning ya hii big event.

UPDATE 2

Wapendwa wote!
Napenda tena safari hii kuwashukuru sana sana wale wote tuliojumuika Jumamosi na kufanikisha the FIRST EVER trip ya wana JF kama ilivyokuwa!

Nawashukuru kwa niaba ya wale wote tuliokwenda kujivinjari, kwa mawazo na michango yenu hapa. kwa wale ambao hamkuweza kwenda , daima ipo nafasina siku nyingine.

Tulichojifunza kikubwa ni kuwa pamoja, na kujenga kuaminiana na huu ni mwanzo wa kutengeneza mtandao ambao nina imani utatufikisha mbali!

Idumu JF, wadumu wapwa na mabinamu, tupo pamoja sana!
 
.

kwa wale wanaopunga mkono hoja please hebu gongeni senks kisha tujadiliane namna ya kuorganise hii kitu (for those brave enough). Najitolea kufanya reconnaisance and all sorts kisha nitaweka dataz hapa.

karibuni
hehehehe!well noted bana
 
Ni wazo zuri hatahivyo tupe kwanza ma-detail ili tujue kwanza tunajipanga vipi ili iwekwe kwenye dayari.mie ningependa kujua vitu kama mahali,tarehe vilevile cost ni muhimu.
 
Ni wazo zuri hatahivyo tupe kwanza ma-detail ili tujue kwanza tunajipanga vipi ili iwekwe kwenye dayari.mie ningependa kujua vitu kama mahali,tarehe vilevile cost ni muhimu.

hahaha! Mr. Nipo: Cost, Venue, date utapewa nyumbani. Nimeona senks yako, that means this time tutatengenezea kabinti ketu ka pili mbugani.
 
umekula senksi mpwa!sasa tupitie mlimani city tuulizie taska can zinauzwaje pale

Hahaha! Hivi kuna vikopo vya serengeti? Vikikosekana ZD atakuwa na mzigo mzito wa valeur kwenye handbag yake hiyo siku.
 
Ni wazo zuri hatahivyo tupe kwanza ma-detail ili tujue kwanza tunajipanga vipi ili iwekwe kwenye dayari.mie ningependa kujua vitu kama mahali,tarehe vilevile cost ni muhimu.

Kweli ZD, hilo la cost na mahali linafanyiwa kazi kwa utulivu wa hali ya juu, lakini lililo wazi ni kama je tuweke location hapa ama anayependa kujua aniPM mimi au wanakamati wengine kama Xpin na shemegi Geoff,,,,ni wazo pia.

Kuhusu muda nadhani ingekuwa vema kama ikiwa next month kabla watu hawajaenda vekesheni za Xmas na mwaka mupya...
 
hahaha! Mr. Nipo: Cost, Venue, date utapewa nyumbani. Nimeona senks yako, that means this time tutatengenezea kabinti ketu ka pili mbugani.
mpwa,posti kama hizi huwa hatukommenti!UNAKULA SENKSI JUU KWA JUU!mimi napenda haka ka-binti kaitwe LIONESS!:D
 
mpwa,posti kama hizi huwa hatukommenti!UNAKULA SENKSI JUU KWA JUU!mimi napenda haka ka-binti kaitwe LIONESS!:D

Mpwa Fidel naona labda tutapiga kura tujue ataongozana na nani! Hiyo tripu si tutaongozana na walala ubavu wetu au wapwa peke yatu? Weka wazi hii mpwa Kaizer!
 
Mpwa Fidel naona labda tutapiga kura tujue ataongozana na nani! Hiyo tripu si tutaongozana na walala ubavu wetu au wapwa peke yatu? Weka wazi hii mpwa Kaizer!

Uzuri mpwa wa hapa Jf ni kuwa tuko liberal, atakaje kuja na ubavu wake ruksa, mwenye mambo yetu yale ruksa, ili mrani hakuna restraint ya mtu kuja naye..(obviously wale wa dalili za jinsia moja hapana jamani)....so mi nadhani kila mtu awe free kuja na mtu wake...

ila kama ulivosema hapo juu location date na costs ni strictly confidential!
 
ngoja nim-consult muzee wa house nitakuja na majibu A+B= C
mawazo mazuri sana kaizer hahaha mie nimezoea kuona watalii tu ndo wanatembelea mali zetu za asili akina sie mpaka tunadead tumesoma tu kwenye History sijui ni Siasa
 
ngoja nim-consult muzee wa house nitakuja na majibu a+b= c
mawazo mazuri sana kaizer hahaha mie nimezoea kuona watalii tu ndo wanatembelea mali zetu za asili akina sie mpaka tunadead tumesoma tu kwenye history sijui ni siasa
.........tena watalii unawaona kwa luninga
 
Kabla hamjaendelea naomba kuuliza carmel yuko wapi????????????????nimemmiss sana ni takrabani kitambo sasa haonekani
 
Mpwa Fidel naona labda tutapiga kura tujue ataongozana na nani! Hiyo tripu si tutaongozana na walala ubavu wetu au wapwa peke yatu? Weka wazi hii mpwa Kaizer!

hili nalo neno mkuu..manake kuna yulke wa kuretouch 70,000per week, kuna nke wa n'tu, eeh, and the list goes on hahahah
 
Kweli ZD, hilo la cost na mahali linafanyiwa kazi kwa utulivu wa hali ya juu, lakini lililo wazi ni kama je tuweke location hapa ama anayependa kujua aniPM mimi au wanakamati wengine kama Xpin na shemegi Geoff,,,,ni wazo pia.

Kuhusu muda nadhani ingekuwa vema kama ikiwa next month kabla watu hawajaenda vekesheni za Xmas na mwaka mupya...

Nimekupata shemeji,tupo pamoja.Msalimie Nyamayao!
 
Back
Top Bottom