Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 656
ZZK lazima aikumbuke historia ya maisha yake. Msingi wa mafanikio yake leo ni zao la malezi bora toka kwa CDM pamoja na utambulisho wa kisiasa alioupata toka kwa mtoto wa mjini mh. Mbowe. Tambueni leo hii zzk anajiona mjanja kwa sababu alionyeshwa kila kona ya mji huu na mbowe wakati akiwa anafanya kazi ya uhamasishaji na kulipwa na mbowe. Kumbukeni enzi hizo CDM ilikuwa na wabunge wawili tuu. Mh. Slaa na Mzee Ndesamburo tuu bungeni.
Marunda,
Hii ndlotatizo ninaloliona kwa watu wengi. Huwezi kuwa-confined ndani ya miliki ya mtu kisa alikusadia kujuikana. Kama alimjenga ajulikane sasa si ndio anajulikana ttz liko wapi???