Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

ACT kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani hilo naliona kwa mbaaali, Chama tawala kikishatolewa madarakani kurudi ni mdogo, waliopo sisiemu baadhi wataenda act na kufanya chama kikuu cha upinzani na ukawa naada ya 30 yrs ZZK Upo?
 
Hilo la pili ni pigo kwenu chadema wanafiki kila siku mlikuwa mnapiga kelele kuwa ACT inafadhiliwa na Lowassa/CCM..Kumbe mlikuwa mnamtolea macho...sasahivi mbona hamuongei kitu...wanafiki nyie acheni porojo

Sio wanafiki bro. ACT imeingizwa mkenge na tactics za Mbowe za over my dead body.
 
9k=
 
huna pigo lolote Bali tamaa za viongozi wako ndio pigo kw wachache wenye fikra finyu ambao wapo tayari kuuza haki zao kwa mafisadi na kuwaita ni watu wasafi hongera team lowassa kwa kufanikiwa kuinunua chadema pamoja na UKAWA kiujumla
 
mimi naomba zito atumie akili yake yote abadilike na arudi nyumbani kwakwe CDM kabla ya october.
 
Hilo la pili ni pigo kwenu chadema wanafiki kila siku mlikuwa mnapiga kelele kuwa ACT inafadhiliwa na Lowassa/CCM..Kumbe mlikuwa mnamtolea macho...sasahivi mbona hamuongei kitu...wanafiki nyie acheni porojo
Mbona unalialia?
Si afazali ukajiloweke kwenye maji ya moto ili gamba lako likuvuke !!
 
Mtamjua DJ mwaka huu hadi li ccm lenu limwagike

Normally DJ ni watu wenye akili sana na wanafikiri kwa kina, unadhani kupanga muziki ulete burudani kulingana na wakati na mahali na aina ya watu, inahitaji akili sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom