Ungefafanua unataka kujua kivipi,maana wengine wakiona hilo neno wanawaza tendo la ndoa wengine uhusiano mzuri baina ya wanadamu kwa wanadamu,sijui wewe unataka kujua nini?
Wangwana hamjambo? Jamani hili neno mapenzi hivi nini ? Kwanini linachukua nafasi kubwa sana katika maongezi ya maneno yote duniani 90% ! Unajua matumizi na kazi ya neno hili kwa vitendo linasababisha vifoo vingi sana hapa duniani 90% usibishe unatakiwa uelewe hivi mapenzi nini ? Na je penzi + mpenzi ndiyo nini? Na ngono ina maana ya sehemu ya hilo neno?
Unauliza kitu ambacho ni INVISIBLE !
Ukiwa mahakamani ukamjibu Judge/ Hakimu, "Niliua kwa ajili ya wivu wa MAPENZI"
Judge akisema ok huo/ huyo WIVU na MAPENZI be submited to the court, itawezekana ?.
Obvious hakuna awae yeyote atakaekupa uhalisia wa PENZI.
> Hata ukipeleka kesi hii Labaratory ni invisible .
> Peleka polisi walikamate Jibu unalo!
> Peleka jela walifunge ! Jibu ni lilelile !
Katiza maneno PENZI linabaki kutafsiriwa na moyo wa ANAEPENDA na si ANAEPENDWA.
Hayo mazungumzo ya 90% ya mapenzi na vifo 90% kwa sababu ya mapenzi labda kijijini kwenu huko na seem samlpe uliyochukua kufanyia utafiti nayo haikua kubwa ndo maana % yako ikapaa to that extent! Ukistretch mawazo kidogo na kupata say exposure utagundua vichwa vya watu vina mengi zaidi ya mapenzi..
Naamini mapenzi is how you feel about the other person na ngono ni uwakilishaji wa hisia for opposite sex who are in love. In the nutshell ngono si mapenzi.
Ni hali ya kuingiwa moyoni na kuthamini mtu au kitu zaidi ya mwingine au
kingine,mahaba, nyonda, huba Mfano.Kila mpenda soka lazima awe na mapenzi
na LIVERPOOL. Kila mpenda siasa lazima awe na mapenzi na
KINGUNGE NGOMBALE MWILU N.K
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.