Mapenzi ni nini hasa?

Wadada na Wakaka wa JF

Kwa lugha rahisi sana na uzoefu wenu katika mahusiano: Mapenzi ni nini hasa?

Nimekuwa najiuliza sana hili swali na kwa muda mrefu lakini mpaka leo sina jibu sahihi.
 
Ni package ya kuhitajiana, kutakana, kushirikiana, kufurahishana, kurishishana, kuvumiliana, kuheshimiana, kuthaminiana na kuaminiana!
 
Ni package ya kuhitajiana, kutakana, kushirikiana, kufurahishana, kurishishana, kuvumiliana, kuheshimiana, kuthaminiana na kuaminiana!

Aiseee, ni hivyo tu? Kama mtu amekuwa akimfanyia mwenzio wake vyote hivyo lakini bado mustakabali wa package uliyosema haueleweki je?

Unawezaje kupata mtu wa kubalance vyote hivyo?
 
Simply, not to be able to live without that particular person ongeza package aliyosema Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Simply, not to be able to live without that particular person ongeza package aliyosema Kaunga

Jamani, bado lugha zenu sizielewi: Unafikaje katika stahe hizo?

Kila siku relationship zinavunjika
Single parents wako wengi sana
divorce rate inaongezeka
Cheating ni kama inakubalika kijamii maana rate yake iko juu almost 100%
Wanaofanyiwa hayo uliyoyasema wanawatenda wenzi wao
n.k.

Jamani walimwengu mapenzi ni nini? Yapo?
 
In reality mapenzi ya kweli hakuna, its only in utopia
 
Wadada na Wakaka wa JF

Kwa lugha rahisi sana na uzoefu wenu katika mahusiano: Mapenzi ni nini hasa?

Nimekuwa najiuliza sana hili swali na kwa muda mrefu lakini mpaka leo sina jibu sahihi.

Mapenzi ni kupendana (lazima yawe ya huku na huku)
Penzi ni kupenda mtu fulani (ni mtu mmoja)
 
Mapenzi ni ile hali ya kujihusisha katika ile shughuli ya mwili na saikologia ikilenga

kupata raha na utamu kwa njia ya kupanda mlima na kufika kileleni ikiwiana na hisia chanya

za wahusika juu ya mwenzie. ingawa wengine hujihusisha lkn hawafiki kileleni.

inapotokea mnafanya hayo hayo kwa kukidhi haja ya utamu bila kushirikisha hisia chanya inajulikana kwa jina la ngono.
 
Back
Top Bottom