Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
Ndio atupe facts sasa ili tujue yeye huo utafiti wake sio pumba,,, kama hana facts bas huo utafit wake pumbaUmepataje 96% na wala si 97% wala 95% ?
Ndio atupe facts sasa ili tujue yeye huo utafiti wake sio pumba,,, kama hana facts bas huo utafit wake pumbaUmepataje 96% na wala si 97% wala 95% ?
Du hatari sanaHao watu wazima wengine wanaongea pumba mpaka ukimskia unaona aibu wewe.Muda mwingine wao pia wanachangia vijana kuwa hivi mana hakuna cha kuiga zaidi ya hizo pumba
Dah....Umepataje 96% na wala si 97% wala 95% ?
SIKU HIZI VIJANA HUWASIKI WAKISIKIA VIPINDI VYA TV AMA REDIO VYA KUELIMISHAvijana wanaona aibu kufanya biashara ndogo ndogo wanataka za kujifungia ofisini
niliwahi kumuambia mdogo wangu twende coco beach tukauze korosho pale beach weekend moja, ile kufika tukapark gari nikachukua mfuko wa korosho na gitaa langu nikaanza kuuza kwa watu waliokuwa wakipunga upepo huku nikiwaburudisha kwa muziki wa gitaa. Dogo yeye akaenda kujificha kwenye kichaka