Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,491
- 1,831
Nasikia kuna mwanamuziki mmoja aliimba wimbo wenye maneno haya:Tembo- neno hili ukilisema hadharani kule Makunduchi, Unguja unaweza kurudi umeroa damau
Mbele yangu kuna Simba, nyuma chui, kushoto TEMBO
Wakamtoa Ngeu eti katukana