Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!!

Tukuyu-tutakuwa

Pemba-Choma

Maswa-majani.

tukuyu pemba na msawa- tutakuwa tunachoma na majani.
 
kamwe usiangalie filamu ya hotel Rwanda ukiwa upo na watu unaowaheshimu. Kuna majina ya watu waliopotea na mmoja anaitwa kum., jina hilo lina-display kwa sekunde kadhaa.
 
Namibia kuna watu wanaitwa IPUMBU, kuna mji Japan unaitwa KUMAMOTO
 
Back
Top Bottom