Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!!

Tembo- neno hili ukilisema hadharani kule Makunduchi, Unguja unaweza kurudi umeroa damau
Nasikia kuna mwanamuziki mmoja aliimba wimbo wenye maneno haya:

Mbele yangu kuna Simba, nyuma chui, kushoto TEMBO

Wakamtoa Ngeu eti katukana
 
Sundi(jina la kisukuma)
Kwa wanyarwanda ni uchi wa mwanamke..
Sugu kwa wasukuma ni kinembe.
Nyooo(mshangao)wasukuma ni uchi

- pia neno nyooo kwa Waganda = sana/mno, kwa wasukuma ni kama alivyofafanua mkuu hapo juu.
 
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!
Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao
Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!

Endeleza na wewe.....


Mkuu ungetudondoshea tafsiri kwa lugha nyepesi ya kiswahili
 
Mkuu ungetudondoshea tafsiri kwa lugha nyepesi ya kiswahili


Il Gambino.
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!.......Kuduu
Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao.......Kinmbe cha mwanamke
Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!.........Kum!

Nadhani mpaka hapo nimekudadafulia kwa chat ili nikutane na mkono wa Invisible!!!
 
Kuna kata moja kule wilayani Same inaitwa Ndungu, wanalima sana mpunga. Neno 'Ndungu' kwa Wanyakyusa lina maana ya 'Korod-an-i'. Kwa hiyo ukiwa Tukuyu hilo neno lichukulie tahadhari. Nadhani Bujibuji ananipata vema
 
Kuna mji upo Ghana unaitwa Kumas..kwa kiswanglish ni wingi wa kiungo cha binadamu.
 
wakerewe wanasema: 'wagenda ********?' maana yake: ukienda, utalala kule kule?

Wanyambo wanasema: 'ma-nyoko' au 'nyoko wawe' maana yake: mama yako

Wakerewe wanasema: 'Obwatombwaga'
Maana yake: huu mtumbwi ni wa nani?

Waganda wanasema: 'amazi' maana yake: maji; wahaya neno 'amazi' ni kinyesi








?
 
Mbooni=================== a place in Kenya
Usenge High school=========== a school in Kenya
 
Sijamsoma mleta maana akisema tafsili ana amanisha nini hasa? nimeangalia hili neno kwenye kamusi ya kiswahili sanifu nimelikosa msaada plz.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom