Uchambuzi: Ni mjinga tu ataamini Simba wata droo au kuifunga Al ahly

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)

Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....

Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3

Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa
1711118515741.jpg
 
Idadi ya majeruhi inazidi kuongezeka kwa wachezaji wa Al Ahly, jana tena mchezaji wao Emam Ashour kaumia bega na kushindwa kuendelea na mchezo. Mpaka sasa kuna wachezaji 4 majeruhi kwa upande wa Al Ahly
 
Simba defence sio mbaya, golini akikaa lakreb, kati inonga na che malone, pemben shabalala na isra, sio kubaya... stress ni kule mbele, timu haina striker kabisa, magoli tunategemea kwa chama na saidoo... hapo ndo pananipa mashaka jins gan simba itashinda.
ila vita ya simba na aly ahli sio tena ya 5-0, hawa ni droo mtu ashindie matuta au ahly ashinde kwa gd isiyozid 2.

huko kwa kina UBUNTU BOTHO nako ni 50-50, tu yanga wako vizuri kwenye mechi za vita
 
Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)

Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....

Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3

Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa View attachment 2942322
Wewe unayewaona hao ni wajinga ndiye mpumbavu kabisa na upumbavu wako utathibitika tarehe 29/03/3024
 
We jamaa Labani unaona vizuri kabisa!

Mi pia naona iko wazi tu kuwa Simba tayari ni marehemu tunachosubiri jangwani ni ile saa tu mnyama atayochinjwa!! Wale mbumbumbu thimba kwa masifa basi watajaza uwanja na wasichokijua ni kuwa wataangukia pua! Ni vibaya Sana binadamu kushabikia vitu vibovu!!! Timu gani haina namba 9 ukipiga pini Chama na Saidoo thimba inadedi unajipia khamsa!

Zamani niliwahi kusema humu kuwa Super League thimba watacheza mechi mbili tu na ikawa, nikasema Derby Simba watakufa khamsa na ikawa, nilichokosea ni kusema thimba haitotoboa makundi ikabidi wakimbilie pemba kwa mganga na wakatoboa!

Ile nyimbo ya solidarity forever kuhamasisha sijaipenda maana asili yake ni mtu alie chini anaekandamizwa anaepigania haki zake , tuliimba sana kudai mikopo Udsm na kumkandia kabaila Mr Mkono!! Yani ina maana Yanga tumeshashindwa kabla ya kucheza ?
Ile nyimbo inafaa thimba wanaotobolewaga robo fainali kawaida yao kuonewa ila Yanga hatujaonewa na timu yoyote si tunapiga tu kila anaeleta pua, hata Azam bila kuumiza mastaa wa Yanga na kupata msaada wa kupewa magoli ya off side kama la Feitoto hawatuwezi! Na wao wanajua!
 
Idadi ya majeruhi inazidi kuongezeka kwa wachezaji wa Al Ahly, jana tena mchezaji wao Emam Ashour kaumia bega na kushindwa kuendelea na mchezo. Mpaka sasa kuna wachezaji 4 majeruhi kwa upande wa Al Ahly
Lkn Percy Tau na yule manywele...ni wazima kabsa
 
Simba Sc Wana Team Mbovu Kupita Maelezo Ila Wanajipa Moyo Kisa Wamekuwa Mashabiki Wa Mamelod.

Wanahisi Mamelod Watachomoka Kwa Dar Young Africans. Ila Amin Amin Nawaambia Mamelod Atakufa Goal Kuanzia 3 Kwa Mkapa.

Mark My Words!
Sahihi mkuu...wanajifariji
 
Simba defence sio mbaya, golini akikaa lakreb, kati inonga na che malone, pemben shabalala na isra, sio kubaya... stress ni kule mbele, timu haina striker kabisa, magoli tunategemea kwa chama na saidoo... hapo ndo pananipa mashaka jins gan simba itashinda.
ila vita ya simba na aly ahli sio tena ya 5-0, hawa ni droo mtu ashindie matuta au ahly ashinde kwa gd isiyozid 2.

huko kwa kina UBUNTU BOTHO nako ni 50-50, tu yanga wako vizuri kwenye mechi za vita
Vp huwaamini kina fred
 
Wewe unayewaona hao ni wajinga ndiye mpumbavu kabisa na upumbavu wako utathibitika tarehe 29/03/3024
Ujinga sio tusi mkuu....

Ujinga ni kielezi Cha namna gan mtu hana ufahamu
So don't mind if i will call you mjinga
 
Back
Top Bottom