kwani we ukifuatilia kwani huwezi kupata..Chief weka majina ya waathirika ili tupiganie kurudi kwao job, kwa kutokuyataja tunasaidia uharamia pale PPF
kweli na ndio maana nimetamka neno WENGI badala ya wote, i remember Dr. Slaa once asked me to prove kama ni wote au la, to be honest nadhani ni wengi na si wote
Sio wote ukimgundua mmoja wa aina hiyo achana naye na mtoe mawazoni mwako, na pia nakwambia before 2015 kama CDM haitafanya mabadiliko ya dhati husije ukapoteza muda wako na CDM rudi CCM maana ni bora zimwu likujuwalo.
Wengi wao wanachukulia ujinga wa Watanzania wa kuwa washabiki bila kuchambua mambo kiundani kama mtaji wao kuendeleza ujinga wao na tamaa binafsi walizo nazo.

Ooh! my God.

Sorry specifically kwa hii thread tu.

Lakini the rest remain as they are. kwamba washikaji wamelifilisi taifa hili na resources zote zimeenda kwao, ndo maana hata juzi kunamleta uzi aliuliza swali kama mtwara ni ya 7 katika kuchangia pato la taifa mbona iko nyuma sana kimaendeeo. Au hata Ole sendeka aliuliza kimkoa kidogo kuliko wilaya yake ya simanjiro lakini kina bajeti ya kujenga barabara za lami 300km the year 2011/2012.

Bact to topic, nadhani imefikia point sasa waTz tuseme basi. haiwezekani yule aliyeiba ndo aonekane mwenye haki zaidi halafu yule muadilifu hata kile kido alichonacho anyang'anywe. Tumekaribia kufikia point of no return. (Kuhusu hii thread is only if this thread is true, kwani yawezekana wengine wanamakosa yakawaida tu kazini kama vile uzembe, utoro wizi n.k. au hata uzushi)
kweli na ndio maana nimetamka neno WENGI badala ya wote, i remember Dr. Slaa once asked me to prove kama ni wote au la, to be honest nadhani ni wengi na si wote
mkuu siwezi kukupinga kwa kuniambia nimeandika utumbo kwa sababu sijui umetumia vigezo vipi. Inawezekana hata mimi nikaona wewe umeandika utumbo kwa vigezo vyangu nitakavyotumia.

We ndo umeandika u2mbo kabisaa na kwa wenye uelewa nafaham unalenga nini haswa ila nkuambie ki2 kaka ucpobadilika sasa bs hutokaa ubadilike na mawazo hayo manake unachosema wewe ki2 kila kona ya nchi hvyo ulichozidiwa wewe ni kutokwenda shule wengi wa kutoka eneo lako hvyo umeshndwa kumtambua adui yako,ndo mana nkasema strugle hard,work hard and pray much,nko iringa,moro,mbeya,m2 afa mnaomboleza 40 days then unamsaka mchawi wakati we ndo mchawi wa devt yako,jipange upya
Mimi nashangaa kuona kwamba JF imekuwa threat kiasi hiki kwa serikali. Nimekuwa nikisikia mara kwa mara viongozi wengi wa serikali hasa hawa wa senior posts wakichukulia JF kama adui wa serikali. Nashindwa kujiridhisha ni kwanini wasichukulie JF as a positive thing kuwasaidia katika kuboresha utendaji wao.

Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja Star tv kilichorushwa kuhusu kasi ya ukuaji wa mitandao ya kijamii kiasi kwamba inasababisha kudhoofisha hi
https://www.jamiiforums.com
Wana JF
PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.
1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza.
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi.
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati.

We ndo umeandika u2mbo kabisaa na kwa wenye uelewa nafaham unalenga nini haswa ila nkuambie ki2 kaka ucpobadilika sasa bs hutokaa ubadilike na mawazo hayo manake unachosema wewe ki2 kila kona ya nchi hvyo ulichozidiwa wewe ni kutokwenda shule wengi wa kutoka eneo lako hvyo umeshndwa kumtambua adui yako,ndo mana nkasema strugle hard,work hard and pray much,nko iringa,moro,mbeya,m2 afa mnaomboleza 40 days then unamsaka mchawi wakati we ndo mchawi wa devt yako,jipange upya
Hii habari sidhani kama ina ukweli wowote!
Base ya kufukuzwa iwe JF?? Hii kali ya mwaka
Ukiniambia walikuwa wanatumia muda mrefu JF badala ya kufanya kazi hapo sawa!nadhani labda ufisadi wa muda wa kazi
Hukuelewa my point!ʞontɹact Sniper;2389679 said:Usibishe kila Jambo, utajikuta unaishia kuwa ant-society, binfsi kuna suala nashughulikia ambalo halitofautiani na hili, kasoro ni taasisi tofauti za serikali.....haya mambo yapo
Tupe majina yao na vyeo vyao tuweze kufuatilia na kuwatetea itakapowezekana...
Mtoa habari kashindwa kutaja majina na kuweka sakata lote. Im giving PPF Mgt benefit of doubt.
Je barua zao za kufukuzwa kazi zinasema wamefukuzwa kwa sababu ya JF? Tuwe waangalifu JF isije tumika kama kichaka cha kuficha maovu ya watu.
Isije ikiwa watu amechemsha au wamekwapua huko halafu wanasingizia JF
Mtoa habari kashin
Weka hapa majina yao na sababu za kufukuzwa kazi. Sielewi elewi yani.