Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

Status
Not open for further replies.

sexon2000

JF-Expert Member
Apr 18, 2010
299
65
Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?

2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza.

3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi.

4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati.
 
Tumefikia hapo? Ni nani anayeweza kutoa ushahidi kuwa wao ndio wametoa nyaraka hizo? Kwani haiwezekana nyaraka hizo akawa kazinasa mtu mwingine wa hapo ofisini kisha akabumbulua issue zao?

Hapa kuna mshangao na maswali mengi.
 
Mkuu wakati tunaendelea kutafakari juu ya uharamia huu uliofanywa na uongozi wa PPF unaweza kutufahamisha majina ya waathirika wa sakata hili?
 
Hii ndiyo Tz yetu, mwizi anamuua mwenye nyumba na maisha yanaendelea kawaida!

Nasubiri uhuru wa kweli....!
 
wametimuliwa kazi kwa misingi ipi ila naona kifuatacho wachunge uhai wao maana Tz sasa ni umafia tuu
 
Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza,
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati

Hapo kwenye red ndo wanaoshabikia uovu woooote nchini sasa watawezaje kutengua maamuzi yao? Ulikwisha ambiwa Serikali iliyopo sasa ni Genge la Majambazi na kufisadi rasilimali za nchi, yeyote atakae fichua ama kuzuia nia zao atapambana na vyombo vya dola! Mbona hamtaki kujifunza kwa Katabaro na Muro! Umeshuhudia PCCB iki watetea akina Chenge na Usalama wa Taifa siyo unao ujua wewe hicho chombo siku hizi ni Usalama wa CCM.
 
Mimi nashangaa kuona kwamba JF imekuwa threat kiasi hiki kwa serikali. Nimekuwa nikisikia mara kwa mara viongozi wengi wa serikali hasa hawa wa senior posts wakichukulia JF kama adui wa serikali. Nashindwa kujiridhisha ni kwanini wasichukulie JF as a positive thing kuwasaidia katika kuboresha utendaji wao.

Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja Star tv kilichorushwa kuhusu kasi ya ukuaji wa mitandao ya kijamii kiasi kwamba inasababisha kudhoofisha hizi traditional media. Wachangiaji walikubaliana wote kwa pamoja kuwa wasomaji wanakimbilia huko kwa kuwa kuna uhuru wa kuandika kitu jinsi kilivyo na vilevile hoja zinachangiwa kwa mapana zaidi.

Sasa hili la kusababisha watendaji kufukuzwa kazi ni ishara ya kutaka watumishi wasiwe na uhuru wa kujiunga kwenye mitandao hii ya kijamii. Watumishi wanataka kuzimwa wasiikosoe serikali au wasiwakosoe wakubwa. Uhuru wa kutoa au kupata habari uko wapi?
 
Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza,
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati

Tupe majina yao na vyeo vyao tuweze kufuatilia na kuwatetea itakapowezekana...
 
Huu ni uonevu mkubwa, lakini cha msingi tungepata nakala za barua za kufukuzwa kwao kazi tungejua kilicoandikwa na kuweza kutoa ushauri wa kisheria
 
Mtoa habari kashindwa kutaja majina na kuweka sakata lote. Im giving PPF Mgt benefit of doubt.

Je barua zao za kufukuzwa kazi zinasema wamefukuzwa kwa sababu ya JF? Tuwe waangalifu JF isije tumika kama kichaka cha kuficha maovu ya watu.

Isije ikiwa watu amechemsha au wamekwapua huko halafu wanasingizia JF

Mtoa habari kashin
 
Huo ndo utawala bora wakuu,viongozi wa Tanzania si wastaafu si walioko ndani yaani wote ni matapeli wa kutupwa..mwisho wa siku hili shirika la umma nalo linachungulia kaburi na serikali ipo na rais(msanii) yupo

kwahiyo hata mie huku nilipo sitakiwa kufichua uozo wowote make la sivyo panga liko juu ya kichwa changu...NCHI YANGU TANGANYIKA!!
 
watafukuza wengi maana kila kukicha ndivyo pinda anazidi kuukana ukulima na jk kuwa mkimya, hali mafisadi wanaendelea
Tanzania kwa sasa ni nchi ya kusadikika , na mflume juha ni mtawala tusibili uchguzi ujao na katiba mpya adhabu ni lazima
 
Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Orio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza,
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati

Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii.

So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.
 
Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza,
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati

Chief weka majina ya waathirika ili tupiganie kurudi kwao job, kwa kutokuyataja tunasaidia uharamia pale PPF
 
Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii. So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivihivi.

Nadhani kwa mantiki hii hata Ridhiwani ni mchagga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom