Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

Status
Not open for further replies.
kuna wanasiasa wana kiu ya kutimiza ndoto zao za kutawala wala si kuwahurumia wananchi na kujitolea kuwatumikia,misimamo yao inaangalia zaidi hatma zao mbeleni na si watanzania wa leo na kesho watanufaikaje.

dhamira ni kitu cha msingi sana kum define mwanasiasa,Ndio maana Mw Nyerere alisema kiongozi inapaswa hata ukimuangalia tu unaona anaichukia rushwa(hii ni dhamira ya dhati kabisa) na sio kujua kujenga hoja tu.

Sio wote ukimgundua mmoja wa aina hiyo achana naye na mtoe mawazoni mwako, na pia nakwambia before 2015 kama CDM haitafanya mabadiliko ya dhati husije ukapoteza muda wako na CDM rudi CCM maana ni bora zimwu likujuwalo.

Wengi wao wanachukulia ujinga wa Watanzania wa kuwa washabiki bila kuchambua mambo kiundani kama mtaji wao kuendeleza ujinga wao na tamaa binafsi walizo nazo.
kweli na ndio maana nimetamka neno WENGI badala ya wote, i remember Dr. Slaa once asked me to prove kama ni wote au la, to be honest nadhani ni wengi na si wote

kama kuna ushahidi wa hayo PPF,uwekwe hapa ili tujue namna ya kusaidia,otherwise najua Jf haiwezi kuwa source ya kutoa siri za member.

Ooh! my God.

Sorry specifically kwa hii thread tu.

Lakini the rest remain as they are. kwamba washikaji wamelifilisi taifa hili na resources zote zimeenda kwao, ndo maana hata juzi kunamleta uzi aliuliza swali kama mtwara ni ya 7 katika kuchangia pato la taifa mbona iko nyuma sana kimaendeeo. Au hata Ole sendeka aliuliza kimkoa kidogo kuliko wilaya yake ya simanjiro lakini kina bajeti ya kujenga barabara za lami 300km the year 2011/2012.

Bact to topic, nadhani imefikia point sasa waTz tuseme basi. haiwezekani yule aliyeiba ndo aonekane mwenye haki zaidi halafu yule muadilifu hata kile kido alichonacho anyang'anywe. Tumekaribia kufikia point of no return. (Kuhusu hii thread is only if this thread is true, kwani yawezekana wengine wanamakosa yakawaida tu kazini kama vile uzembe, utoro wizi n.k. au hata uzushi)

Wewe ni ngeku2kana lile linaloanza na K.
Mana unaukabila.
Wabena wa mali asili?
Manina.

Yaani nyani kwenye mahatunja akilewa hujamba sana na hasa cheo chake hakina mAana kama ugali ukipikwa kwenye chungu pale ikulu

kweli na ndio maana nimetamka neno WENGI badala ya wote, i remember Dr. Slaa once asked me to prove kama ni wote au la, to be honest nadhani ni wengi na si wote

Wengi ni sahihi kaka, hasa hii CDM yetu mimi mpaka sasa namwamini mtu mmoja tu! Hata sijui kwanini wengi wao si waamini.

Hata nikiangalia mambo wanayokuwa nayo serious Bungeni na nikiwachunguza kwa umakini hasa ninao wajuwa kama huyo uliyemsema namjuwa sana nakosa imani kabisa, naona Kama hali inaweza kuwa mbaya sana iwapo tukiwapa nchni bila kujuwa wao kama chama watafanyanini na wanategemea kutumia watu gani maana mpaka sasa watanzania ni kama wamekosa pa kukimbilia baada ya CCM kuwatelekeza wamejikuta hawana jinsi bali ku-opt CDM lakini hakuna analysis ya kina juu ya watu tunaowaona na matendo yao kama yanatofauti na hao wa CCM.

We ndo umeandika u2mbo kabisaa na kwa wenye uelewa nafaham unalenga nini haswa ila nkuambie ki2 kaka ucpobadilika sasa bs hutokaa ubadilike na mawazo hayo manake unachosema wewe ki2 kila kona ya nchi hvyo ulichozidiwa wewe ni kutokwenda shule wengi wa kutoka eneo lako hvyo umeshndwa kumtambua adui yako,ndo mana nkasema strugle hard,work hard and pray much,nko iringa,moro,mbeya,m2 afa mnaomboleza 40 days then unamsaka mchawi wakati we ndo mchawi wa devt yako,jipange upya
mkuu siwezi kukupinga kwa kuniambia nimeandika utumbo kwa sababu sijui umetumia vigezo vipi. Inawezekana hata mimi nikaona wewe umeandika utumbo kwa vigezo vyangu nitakavyotumia.
Lakini tuseme ukweli hebu fikiria kidogo, hivi kweli hawa wasomi wetu (unaowaita wewe, kwani mimi hata sioni huo usomi wao zaidi ya wizi) kama wangekuwa waadilifu tungekuwa hapa tulipo? wao siwanaona siwangetuongoza njia sahihi? Je unataka kuniaminisha kuwa si wezi? Please mkuu nakushauri kuwa realist. sina chuki na yeyote yule kwa kabila lake ila ninachuki na kila aliyefanya maisha yetu yawe mabaya, tukose elimu namengineyo mengi ambayo sina muda wakutosha kuyalist hapa.

Mimi nashangaa kuona kwamba JF imekuwa threat kiasi hiki kwa serikali. Nimekuwa nikisikia mara kwa mara viongozi wengi wa serikali hasa hawa wa senior posts wakichukulia JF kama adui wa serikali. Nashindwa kujiridhisha ni kwanini wasichukulie JF as a positive thing kuwasaidia katika kuboresha utendaji wao.

Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja Star tv kilichorushwa kuhusu kasi ya ukuaji wa mitandao ya kijamii kiasi kwamba inasababisha kudhoofisha hi
https://www.jamiiforums.com

Mimi nilishasema kwamba wanasiasas wengi wanaongea kama wanachi wanavyofikiria lakini wanafikiri kinyume cha wananchi. Napenda uongeaji na mpangilio wa hoja wa Dr. Slaa. Lakini wanasiasa siwaamini kabisa kwani utekelezaji wao huwa unaleta shida wakiwa madarakani. Mtu anakataa posho huku anaporomosha majumba ya gharama wakati wananchi wake wanahagaika na shida mbalimbali. Mbado unaniambia kuhusu wanasiasa? [

QUOTE=Arafat;2389439]Wengi ni sahihi kaka, hasa hii CDM yetu mimi mpaka sasa namwamini mtu mmoja tu! Hata sijui kwanini wengi wao si waamini.

Hata nikiangalia mambo wanayokuwa nayo serious Bungeni na nikiwachunguza kwa umakini hasa ninao wajuwa kama huyo uliyemsema namjuwa sana nakosa imani kabisa, naona Kama hali inaweza kuwa mbaya sana iwapo tukiwapa nchni bila kujuwa wao kama chama watafanyanini na wanategemea kutumia watu gani maana mpaka sasa watanzania ni kama wamekosa pa kukimbilia baada ya CCM kuwatelekeza wamejikuta hawana jinsi bali ku-opt CDM lakini hakuna analysis ya kina juu ya watu tunaowaona na matendo yao kama yanatofauti na hao wa CCM.
[/QUOTE]

Wana JF

PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.

1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?

2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza.

3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi.

4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati.

Zitto kashajitwalia umaarufu kamaliza, kama unamtegemea huyo pole, juzi kajiunga na PPF kwa mbwembwe kibao
hutamsikia tena akiongelea suala hilo, sa hivi anayo account pale PPF na bila shaka ERIO ataitunza vizuri sana.

We ndo umeandika u2mbo kabisaa na kwa wenye uelewa nafaham unalenga nini haswa ila nkuambie ki2 kaka ucpobadilika sasa bs hutokaa ubadilike na mawazo hayo manake unachosema wewe ki2 kila kona ya nchi hvyo ulichozidiwa wewe ni kutokwenda shule wengi wa kutoka eneo lako hvyo umeshndwa kumtambua adui yako,ndo mana nkasema strugle hard,work hard and pray much,nko iringa,moro,mbeya,m2 afa mnaomboleza 40 days then unamsaka mchawi wakati we ndo mchawi wa devt yako,jipange upya

Ukweli ni kwamba toka uhuru hii nchi imekuwa na unfair distribution of resources na ndio maana Chadema wanataka serikali za majimbo.

Hii habari sidhani kama ina ukweli wowote!
Base ya kufukuzwa iwe JF?? Hii kali ya mwaka

Usibishe kila Jambo, utajikuta unaishia kuwa ant-society, binfsi kuna suala nashughulikia ambalo halitofautiani na hili, kasoro ni taasisi tofauti za serikali.....haya mambo yapo

ʞontɹact Sniper;2389679 said:
Usibishe kila Jambo, utajikuta unaishia kuwa ant-society, binfsi kuna suala nashughulikia ambalo halitofautiani na hili, kasoro ni taasisi tofauti za serikali.....haya mambo yapo
Hukuelewa my point!
Sababu ya kufukuzwa haiwezi kuwa JF, kuna sababu nyingine.
Tupe evidence ya hiyo barua ya kufukuzwa kazi na iwe inastate kuwa so n so tunakufukuza kazi kwa sababu ya kutoa information JF

Wana JF, habari hii sio ya uongo.

Mameneja waliofukuzwa kazi ni kwa kuambiwa ni wachangiaji wa JF ni:
1. Siriel Mchembe- Meneja wa Michango
2. Kedron Mbwilo- Meneja Kanda ya nyanda za juu kusini-Mbeya. Huyu ndiye Mhasibu Mkuu wa PPF aliyewagomea uizi wa mamilioni ya fedha za Group endowment mwaka 2008 ambapo kila mmoja aliiba MILIONI MIA MBILI.
3. Emanuel Kakuyu- Meneja wa Kinondoni, Huyu ndiye aliyekaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Utawala kwa mwaka mmoja akawa anamgomea William Erio kuajili visichana anavyofanya navyo mapenzi kwanza hata kama havina sifa.
CHARGES WALIZOAMBIWA NA KUFUKUZWA KAZI
1. CHARGE 1-It has been proved that you were involved in posting abusive, defamatory, subversive, misleading comments in Jamii Forums website towards Board of Trustees, Management and other employees of the fund, and you have been discouraging potential members from joining the Fund, at the same time inciting members to riot and withdraw from the fund
2. CHARGE 2-You have been disclosing to the public through Jamii Forums and news papers wrong financial and operational information of the Fund
3. CHARGE 3-Through posting to the jamii Forums you incited PPF employees to organize a strike for the purpose of removing the management from power as well as causing unrest in the fund.
4. Charge 4-INCOMPATIBILITY- whilst on duty your character, behavior and unbecoming actions through posting into Jamii forums indicates your unsuitability to work under the management you have been attacking.
Haya wa kuwasaidia na awasaidie na wa kutoa ushauri wa kisheria nao watoe.

Tupe majina yao na vyeo vyao tuweze kufuatilia na kuwatetea itakapowezekana...

Eddie na mh. Ngwendu tayari nimeweka majina na charges zao

Erio mtoto wa Mkapa alipania toka zamani kuwaondoa alikuwa akitafuta sababu tu. JF imetumika kama kijisababu na hakuna ushahidi ambao unatosha bila kutia shaka kuwahukumu.

Huyu Erio DG wa PPF ndio alikuwa anavizia kuteuliwa na Rais ili awe JAJI, atafaa kweli? JK angalia huyu atatoa hukumu za kunyonga watu hata kwenye kesi za uizi wa kuku.

Mtoa habari kashindwa kutaja majina na kuweka sakata lote. Im giving PPF Mgt benefit of doubt.

Je barua zao za kufukuzwa kazi zinasema wamefukuzwa kwa sababu ya JF? Tuwe waangalifu JF isije tumika kama kichaka cha kuficha maovu ya watu.

Isije ikiwa watu amechemsha au wamekwapua huko halafu wanasingizia JF

Mtoa habari kashin

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom