Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

Status
Not open for further replies.
nchi ya wendawazimu,
wakapinge hilo swala mahakamani,maana sheria za hii nchi hazitambui mtu kufukuzwa kazi on basis ya swala lolote limalohusu kutoa data kwenye internent
 
Wana JF

Nimekuwa kila wakati kuwa PPF hakuna uongozi bali wapo wezi wa mali za umma.

Erio William Mkapa kajilipa 520 milioni isvyo halali, watu wamesema kaiba, sasa hilo ni kosa? Kalifanyia nini taifa hadi alipwe hela hizo zote wakati bado yupo kazini? Ana miaka 49 sasa wakati umri wa kustaafu ni miaka 55 kwa hiari na 60 kwa lazima.

Siku aliyolipwa Tshs 520 milioni, alilipwa pia malipo yafuatayo:

1.Gratuity 25% ya mishahara aliyofanyia kazi apprx Tshs 150 Milioni
2. Long service award mshahara mmoja Tshs 11 milion
3. Furniture allowance 40% ya mishahara 12 Tshs 75Milioni za kuanzia mkataba mpya.

Jumla alilipwa milioni karibu Tshs 756 milioni kabla ya kodi.

Hivi kama mtu mmoja analipwa pesa hii yote kwa miaka minne tu ya kuwa DG, PPF itapona kweli? Formular zitabadilishwa kweli kuwafaa wachangiaji wanaolipwa ELFU HAMSINI kwa mwezi, yaani LAKI SITA KWA MWAKA na Tshs 4,800,000 kwa hiyo miaka minne?

Tutaendelea kuweka mabaya ya uongozi wa PPF hapa mpaka umma uelewe na hata serikali nayo itafika wakati wataelewa na kuuondoa huu huu uongozi dhalimu, majizi, na WAZINZI WAKUBWA.

Mbaya zaidi anayoyafanya Mkurugenzi wa utawala ni sawa na yale ya Liumba wa BOT. Afya yake inatia shaka, halafu anashughulikia vitoto vidogo kweli hana hata huruma.

Narudi kulala, niliamka na kuikuta hii nyuzi nikashindwa uvumilivu.

Nina SIRI NZITO moyoni, kama ERIO William Mkapa hatawarudisha kazini na yeye kuachia ngazi nitaitoa Ijumaa.
Naposikia mambo kama haya ya kijinga ya kiendelea kufanyika hasira zina nikaa kichwani.Watanzania tunangoja nini,nilini tutasimama kupigania maisha bora na utu wa mtanzania.kwanini vitendo kama hivi viendele kufanyika.Endelea kutujuza mkuu.kizazi kinachohitaji mapinduzi tupo tunakuja,kesho ni mbali tuko teyari kwaleo ili kesho iwe siku ya faraja.
 
Jamani mtanisamehe kama majina ya waathirika yalishawekwa hapa, lakini ningeomba kujua majina ya jamaa zetu walioathirika na uozo huu. Leo kwenye Gazeti la Dira ya Mtanzania pia kuna habari hii lakini majina hakuna!!
 
Majina tafadhali. Habari hii pia leo ipo kwenye gazeti la Dira ya Mtanzania na Kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa" lakiini nao hawakuandika majina. Mwenye majina hayo atusaidie nasi tuyajue.
 
Tunaomba majina ya waathirika yawekwe hapa tafadhali. Leo hii nimeota hii topic kwenye Gazeti la 'Dira ya Mtanzania' yenye kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa'. lakini nao hawakutaja majina. Inawezekana hii isiwe kweli ama?
 
Majina na sababu feki vipo page 3 na 4 za hii thread.

Kama serikali inataka kufanyia kazi maelezo ya Dira ya Mtanzania, hasa jinsi anavyosafiri nje na ndani, kwa nje wakague passport yake itathibitisha anavyo safiri kumzidi hata JK.

DG wa PPF hizo safari nyingi za nje kila mwezi zina VALUE FOR MONEY? CAG kalala tu anachekelea audit fees wanayomgawia Deloit and Touche. Deloit wanavuta zaidi ya USD 100,000 pale PPF hali inayowafanya kuwa waoga kusema ukweli maana wakipoteza mteja huyu kwao kimapato ni pigo.

Delote nao wachunguzwe kwa hili la PPF



Tunaomba majina ya waathirika yawekwe hapa tafadhali. Leo hii nimeota hii topic kwenye Gazeti la 'Dira ya Mtanzania' yenye kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa'. lakini nao hawakutaja majina. Inawezekana hii isiwe kweli ama?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom