Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

Status
Not open for further replies.
Mtoa habari kashindwa kutaja majina na kuweka sakata lote. Im giving PPF Mgt benefit of doubt.

Je barua zao za kufukuzwa kazi zinasema wamefukuzwa kwa sababu ya JF? Tuwe waangalifu JF isije tumika kama kichaka cha kuficha maovu ya watu.

Isije ikiwa watu amechemsha au wamekwapua huko halafu wanasingizia JF

Mtoa habari kashin


Ni kweli tuwe analytical kidogo, watandaze hapa hizo barua za kufukuzwa kazi ilitupate the basis to argue on, otherwise hizi ni just hearsay ambazo zitatupotezea muda wetu hapa.
 
Hii habari sidhani kama ina ukweli wowote!
Base ya kufukuzwa iwe JF?? Hii kali ya mwaka
 
Wana JF
PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.
1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio?
2.Zitto Kabwe, hoja yako ya kukagua upya malipo ya kijambazi ya milioni 520 kwa mkurugenzi mkuu bwana William Erio ndiyo hasa yanasababisha hili, aliyekuwa mhasibu Mkuu na kuwakatalia kuwa hawastahili naye wamemfukuza,
3. Mh. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ingilia kati vinginevyo hakuna mfanyakazi atakayeona mali za umma zinachezewa azizuie. kila mmoja ataacha maana malipo ya kujitolea kuokoa mali za umma ni yeye mteteaji kuuliwa na wezi
4. Serikal, PCCB, Usalama wa Taifa na Bunge waingile kati
SOURCE: Bongo Bond Whisky
 
ni vizuri tukajua majina ya viciims iliwapate msaada wana JF. Watu kama hawa ni wazalendo, wanahitaji support ya wanajamii.
 
Hapo kwenye red ndo wanaoshabikia uovu woooote nchini sasa watawezaje kutengua maamuzi yao? Ulikwisha ambiwa Serikali iliyopo sasa ni Genge la Majambazi na kufisadi rasilimali za nchi, yeyote atakae fichua ama kuzuia nia zao atapambana na vyombo vya dola! Mbona hamtaki kujifunza kwa Katabaro na Muro! Umeshuhudia PCCB iki watetea akina Chenge na Usalama wa Taifa siyo unao ujua wewe hicho chombo siku hizi ni Usalama wa CCM.
well said kamanda.. asiyetajka kuelewa hili basi na asielewe
 
Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii.

So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.
Sound like XENOPHOBIC OR RACIAL COMMENTS...

We better not generalize kabila fulani ni zuri au baya, nani aliwahi kuwaza kuwa wakwere kuna siku watakwapua mali za nchi hii?? Mbona sasa wanakwapua na kuhujumu uchumi...
 
nadhani hua kuna taratibu za kumuachisha mtu kazi, na pia ni lazima sababu ziorodheshwe kwenye barua ya kumuachisha mtu kazi hivyo kama muachshwa kazi anaona kua ameonewa au hajatendewe haki ana kila sababu ya kwenda mahakama ya kazi na kumshtaki muajiri wake. ombi kwa wana jf tuwe makini wakati wa kuachangia mada mbali tusije jikuta tunakurupuka bila kua sababau za msingi asanteni sana
 
avatar yako hainyoshi kama umedhamiria kufanya unachokitamka!

Can avatar really define some's belief and integrity? In your thinking you think I am fan of Ngeleja!!! Haya nia mastaili ya fasihi mkuu...kalaga bhhaho...
 
Nadhani kwa mantiki hii hata Ridhiwani ni mchagga.
mkuu achana na hizi takataka za juzi. mimi naongelea mizizi na si majani. Simaanishi kwamba majani hayana umuhimu lakini yenyewe ni matokeo tu ya mizizi.
 
mtanzania, hata mi nimeshindwa kuelewa, ndio maana nimesisitiza mtoa mada afafanue zaidi, hua kuna mambo mengi yamejificha maofisini, fine inawezekana waka wameachishwa kazi, lakini si kwasababu ya JF bali kwa mapungufu yao binafsi, hivyo kama mtoa mada yupo makini afafanue zaidi ili nasisi tutoe michango yetu.
 
Sound like XENOPHOBIC OR RACIAL COMMENTS...

We better not generalize kabila fulani ni zuri au baya, nani aliwahi kuwaza kuwa wakwere kuna siku watakwapua mali za nchi hii?? Mbona sasa wanakwapua na kuhujumu uchumi...
mkuu ukisoma vizuri post yangu nimesema sichukii kabila, na wala sioni mantiki yakuchukia kabila otherwise nitakuwa nimerun mental. Ila nachukia jinsi wanavyoliibia taifa hili. mimi naamini hata mkapa alikuwa very clean person kiuadilifu lakini alipojikaribisha na hawa watu unaweza ona sasa hivi alivyochafuka.
Mkwe.re unamaanisha JK? sijakupata lakini kama ni JK sidhani kama kweli huyu jamaa ni mwizi ila naona ni muoga fulani aliyezungukwa na system ambayo ipo undercontrol ya wezi. Hana hata pa kupumlia, siajabu mpaka hata mlinzi wake naye ni mwizi (hapo unatarajia nini?), mpaka majeshini mpaka mapolisini kote wamejaa wezi. Jk amebaki kama **** fulani ambaye hana chakufanya. Anachofanya sasa hivi ni usanii tu. tunajua na tunaamini hatowaweza.
Tafadhali kama unakitu unachokijua huyu mkwe.re directly (siyo mambo ya kudhania) ametuibia hebu tuwekee hapa (eg mkapa=kiwira etc)
Mfumo pia nikikwazo. labda katiba mpya inaeza kuwa suluhisho kama tutakuwa makini.
 
Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii.

So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.

Mkuu jamaa anaitwa William Erio, sio mchaga ni Mmakua kutoka kwa mzee Ce Mkapa infact ni mtoto wa Dada yake Mkapa na hilo jina la William lime dadavuliwa kutoka kwenye Benjamin William Mkapa
 
Mkuu jamaa anaitwa William Erio, sio mchaga ni Mmakua kutoka kwa mzee Ce Mkapa infact ni mtoto wa Dada yake Mkapa na hilo jina la William lime dadavuliwa kutoka kwenye Benjamin William Mkapa
Ooh! my God.
Sorry specifically kwa hii thread tu.
Lakini the rest remain as they are. kwamba washikaji wamelifilisi taifa hili na resources zote zimeenda kwao, ndo maana hata juzi kunamleta uzi aliuliza swali kama mtwara ni ya 7 katika kuchangia pato la taifa mbona iko nyuma sana kimaendeeo. Au hata Ole sendeka aliuliza kimkoa kidogo kuliko wilaya yake ya simanjiro lakini kina bajeti ya kujenga barabara za lami 300km the year 2011/2012.

Bact to topic, nadhani imefikia point sasa waTz tuseme basi. haiwezekani yule aliyeiba ndo aonekane mwenye haki zaidi halafu yule muadilifu hata kile kido alichonacho anyang'anywe. Tumekaribia kufikia point of no return. (Kuhusu hii thread is only if this thread is true, kwani yawezekana wengine wanamakosa yakawaida tu kazini kama vile uzembe, utoro wizi n.k. au hata uzushi)
 
Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii. <br />
<br />
So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.
<br />
<br />
We ndo umeandika u2mbo kabisaa na kwa wenye uelewa nafaham unalenga nini haswa ila nkuambie ki2 kaka ucpobadilika sasa bs hutokaa ubadilike na mawazo hayo manake unachosema wewe ki2 kila kona ya nchi hvyo ulichozidiwa wewe ni kutokwenda shule wengi wa kutoka eneo lako hvyo umeshndwa kumtambua adui yako,ndo mana nkasema strugle hard,work hard and pray much,nko iringa,moro,mbeya,m2 afa mnaomboleza 40 days then unamsaka mchawi wakati we ndo mchawi wa devt yako,jipange upya
 
mkuu MTM,ndio maana binafsi nimeweka imani kubwa kwa Dr slaa,nimemfahamu miaka mingi na amekuwa na msimamo usioyumba kwa kauli na vitendo.anajua anachoamini tena kwa dhati kabisa bila hila hata chembe.wengi ninahofu kama wanajua wanachosimamia,wamekuwa political oppurtunist tu.
 
Kilichonikera ni ile ya zitto kujiunga na PPF na mapicha tele wakati ameshachongea watu

For the XXXtime nasema tena wanasia wengi ni wanafiki

Sio wote ukimgundua mmoja wa aina hiyo achana naye na mtoe mawazoni mwako, na pia nakwambia before 2015 kama CDM haitafanya mabadiliko ya dhati husije ukapoteza muda wako na CDM rudi CCM maana ni bora zimwu likujuwalo.

Wengi wao wanachukulia ujinga wa Watanzania wa kuwa washabiki bila kuchambua mambo kiundani kama mtaji wao kuendeleza ujinga wao na tamaa binafsi walizo nazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom