Kama ulikuwepo vile,huyu mama dharura za kwenda kyela zilikuwa haziishi,na anakaa mpaka wiki nzima!Nafikiri ticha aligundua kuwa marehemu alikua bado anapiga moja moja na akifikira kwamba visafari vya hapa na pale vilikua vya kutosha inakua ni ngumu kumeza.
Kuhusu watoto wale wawili jamaa anawajua vizuri na alikuwa anaishi nao hapa hapa Tunduma.Duh, kuna watu wanaoana kama vile wanaigiza.
Maswali Mme: hakujua kama kuna watoto? Hakufanya due diligence hata kidogo? Watoto wawili unaweza waficha?
Maswali Mke: Kwa nini alificha msiba? Kwa nini alisema baada ya kufika huko.
Hii story ya kutunga, ila ya kwenye magazeti ya 'ungekuwa ww ungefanyaje?'
Kazaa naye watoto wengine wawili!
sasa hapo hasira ni kwa sababu
au
mkewe kwenda msibani?
au
ng'ombe aliyeuzwa?
Kuhusu watoto wale wawili jamaa anawajua vizuri na alikuwa anaishi nao hapa hapa Tunduma.