SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 695
- 1,045
Wengne hata hatuelewi maana hata panapozungumziwa ndio tunapaskia leo ,hlo bwawa n lakuogelea au lipo hukohuko Dar ama
Ni bwana la maji ya moto,natural Swimming pool...lipo Moshi KilimanjaroWengne hata hatuelewi maana hata panapozungumziwa ndio tunapaskia leo ,hlo bwawa n lakuogelea au lipo hukohuko Dar ama
Ahsante mkuu kumbe ten lipo Kilimanjaro bas nkajua n DARNi bwana la maji ya moto,natural Swimming pool...lipo Moshi Kilimanjaro
Nikasikia paah! na yeye akasema aaah! Ndio safari ya mwishoUpumbavu huu, nimeogelea hapo toka nina miaka 20, hata mwezi uliopita na miaka yangu 53 nimeoga hapo.
Simu yako haina Google map??Nisaideni nikiwa Moshi Arusha highway unaingilia wapi kueleka huko? Na ni kilomita ngapi kutoka barabara kuu kufika huko? Je njia ya kufika huko inapitika kwa mwaka mzima kwa gari ndogo amabayo haina fourwheel? Nataka kufanya utalii wa ndani huko baadaye mwaka huu.
Chemka ni wapiJF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka
Kinga ni bora kuliko tiba. Hapa ni Chemka kule boma ng’ombe. Sehemu pendwa kwa kuogelea na natural Massage. Tahadhari imetolewa, Bwawa limeingia ruba. Mashuhuda wanasema Mamba wameonekana. Inaaminika Mamba hao wametokea mto Pangani.
Sababu zilizowawezesha Mamba hao kusafiri umbali mrefu inaaminika ni mvua zilizofululiza muda mrefu na mafuriko yaliyoanza Novemba mwaka jana yakaungana na mvua za masika za mwaka huu.
View attachment 2966676
Kusikia kwa kenge ni hadi damu zimtoke wapi etiHuyo ni kenge
Ukishafika Bomang'ombe ulizia barabara ya kwenda chemka maana panafahamika ..km nadhani 14-16(kati ya hizo), barabara ni ya changaraweNisaideni nikiwa Moshi Arusha highway unaingilia wapi kueleka huko? Na ni kilomita ngapi kutoka barabara kuu kufika huko? Je njia ya kufika huko inapitika kwa mwaka mzima kwa gari ndogo amabayo haina fourwheel? Nataka kufanya utalii wa ndani huko baadaye mwaka huu.
ThanksUkishafika Bomang'ombe ulizia barabara ya kwenda chemka maana panafahamika ..km nadhani 14-16(kati ya hizo), barabara ni ya changarawe
Haina mkuu natumia kitochiSimu yako haina Google map??
OkayHaina mkuu natumia kitochi
Ni bwana la maji ya moto,natural Swimming pool...lipo Moshi Kilimanjaro
Bomang'ombe ni wilayani Siha na sio Moshi.Ahsante mkuu kumbe ten lipo Kilimanjaro bas nkajua n DAR
Asante kwa kunirekebisha,Sie watu wa Mbali Kilimanjaro yote tunaiona ni Moshi.Bomang'ombe ni wilayani Siha na sio Moshi.
Ni wilaya ya Hai sio Siha mkuuBomang'ombe ni wilayani Siha na sio Moshi.