Mamba waonekana Bwawa la Chemka

Ninayo video nyingine ikionyesha mamba akiogelea Chemka ila nashindwa kuiweka hapa


Basi hao Mamba hawana tatizo na wamadamu, nenda chemka mda huu, kuna wafoza ushuru na mashine ya serikali, na kuna watu kibao wanaogelea pale, hao mamba wako watakuwa Marioo
 
Uzuri kwa namna maji yalivyo clear pale kama kweli mamba yupo nadhani ataonekana.
Na kuna mipango mikubwa mtu akivutiwa na mamba huko ndo kwaheri.
 
mamba wapo, ni issue inayofahamika vizuri tu sema huwa wanakuja usiku. Mchana kukiwa na vurugu vurugu na mishemishe za watu wakiogelea huwa wanaenda mbali hawawezi kusogea, ndyo hali inayosababisha kuonekana kama hawapo, lakini usiku kunapokuwa kumetulia wanarudi na ni risk sana kuogelea mwenyewe usiku.
 
Back
Top Bottom