Makubwa yaliyompata jamaa yangu

bado hujanishawishi mkuu tall!
halafu kimbweka na avata zake HAPANA JAMANI
 
melezo yako yamepwaya sana...hata nikikuuliza, kwnini ishu iwe kwa mume tu wakakti na mke nae kacheza rafu?
kumbuka wote walicheza rafu lakini mwizi mmoja akastuka,akaenda kwenye appointment akijua mmewe kacheza rafu na ndio maana jamaa hana raha....na ushahidi kuwa yeye alijua ni mumewe anahangaika ni simu ya shoga yake aliyoitumia na kumueleza shoga yake kuwa leo anaenda kumuumbua shemejie malaya.hadi hapo una la zaidi mheshimiwa mkuu?
 
uncordinated fabricated story - to say the least. Sorry to say this.
 
bado hujanishawishi mkuu tall!
halafu kimbweka na avata zake HAPANA JAMANI
MAJUZI TU TUMEAMBIWA KUWA KUNA WATU WANA ID ZAIDI YA MOJA,KUMBUKA JAMAA NILIMUULIZA MASWALI MENGI SANA TENA YA MFULULIZO ILI NISIMPE NAFASI YA KUFICHA KITU,.....ANASEMA,YEYE hakujua kwanza kuwa mkewe yupo kwenye huo mtandao,hakuweka picha,yake wala jina lake halisi...anachoshangaa ni mkewe nae kuwemo humo tena kwa jina tofauti linaloanzia na herufi ya.....unalazaidi mkuu? kazi yangu si kukushawishi ila kukueleza what happened.
 
kumbuka wote walicheza rafu lakini mwizi mmoja akastuka,akaenda kwenye appointment akijua mmewe kacheza rafu na ndio maana jamaa hana raha....na ushahidi kuwa yeye alijua ni mumewe anahangaika ni simu ya shoga yake aliyoitumia na kumueleza shoga yake kuwa leo anaenda kumuumbua shemejie malaya.hadi hapo una la zaidi mheshimiwa mkuu?

ninalo!.... bora hata ungesema mke nae alinunua line ya cri, ya shogake, y? ina maana kuanzia wanaanza mawacliano huyo shoga yeye alibakia bila mawacliano kisa kumuumbua shemeji yake, hayo mawacliano yao(mke/mume) yalikuwa na muda gani mpaka walipoonana?..
 
uncordinated fabricated story - to say the least. Sorry to say this.
wala huhitaji kusema sory mkuu yaani uwe na amani ni wapi bado unaonaona kuna fabrication????? kama hakuna itbidi unyamaze milele.
 
INAELEKEA BABU YAKO ALIKUWA NA BUSARA NA AKILI SANA,SASA WEWE MKUU UNAJIONAJE UMERITHI JAPO KIDOGO AKILI ZAKE? Kama bado yu hai kuwa nae beneti utavuna mengi toka kwake,sina shaka umeiga akili za babu yako na ndio maana ukatoa THANKS kwa mtu ambe dakika chache tu alikuudhi.
hamna tall wala hujaniudhi mtu wangu

Babu yangu alikuwa na busara sana sema ameshafariki kuna vitu alikuwa anaongea natamani ningekuwa naviandika
 
Inamaana mkewe alikuwa anajua kuwa ni mumewe anayewasiliana naye ama??
...Huenda wife naye alikuwa katika mitego yake na siku hiyo vikaripuka!!! Ndio mambo ya 40 za mwizi hayo!!
 
hamna tall wala hujaniudhi mtu wangu

babu yangu alikuwa na busara sana sema ameshafariki kuna vitu alikuwa anaongea natamani ningekuwa naviandika
pole sana mimi babu zangu wote kwa mawa na baba walishafariki,lakini meeeengi sana nilivuna toka kwao,namshukru sana mungu.
 
ninalo!...kwanini mke amshikie bango mumewe wakati wote wamecheza rafu?
kwa vile yeye aligundua kwanza kuwa mumewe mwizi na ushahidi kaacha kwa shoga yake. una la zaidi mkuu....si unajua? wote wakosefu lakini mkamatwa na ngozi ndie mwizi na ndio maana bibie aliwahi mapemaaaaaa saa 11 yupo pale kumuumbua husband.
 
toa point mkuu katavi,kwa nini huiamini? Unajua jioni ya leo nakutana na jamaa tuyazungumze.
Unajua Tall inakuwa vigumu kwa mambo yote hayo kutokea kati ya mume na mke bila wao wenyewe kujua! Si rahisi kuamini. Enewei labda kweli imetokea kwa maana dunia haiishi maajabu!
 
kwa vile yeye aligundua kwanza kuwa mumewe mwizi na ushahidi kaacha kwa shoga yake. una la zaidi mkuu....si unajua? wote wakosefu lakini mkamatwa na ngozi ndie mwizi na ndio maana bibie aliwahi mapemaaaaaa saa 11 yupo pale kumuumbua husband.
Sasa kidogo nimeanza kuamini, kumbe ulikuwa mtego!!!!!!!
 
Siwezi kusema story ya kweli ama la, ila haya yanaweza kutokea kabisaa.
Facts
- Kwenye facebook si watu wote wanaweka picha zao.
- Watu wana line ambazo spouses wao hawazijui kabisaa (labda hata mkeo au mumeo anayo na haujui) kwa hiyo inawezekana kabisa. Watu wana mpaka simu nne ajabu ya nini?
Nijifunzacho ktk story hii - iwe ya kweli ama ya kutunga ( I dont really care)
Udanganyifu katika ndoa upo, men and women are out hunting!!!

Ushauri wa bure kwa wachangiaji wa thread hii
Kwanini mnamwandama Tall? Possibility ya kukutana mke na mume ipo kabisaaaa, kwani watu hawaopoi ktk facebook na internet kila kukicha? Mwacheni Tall aendelee kuwa mrefu.
 
Unajua Tall inakuwa vigumu kwa mambo yote hayo kutokea kati ya mume na mke bila wao wenyewe kujua! Si rahisi kuamini. Enewei labda kweli imetokea kwa maana dunia haiishi maajabu!
nimesema hiviiiiiii mke alimshitukia mumewe baada ya mumewe kumtajia mkewe kuwa anafanya kazi kwenye taasisi za pesa,sasa mke baada ya kufikiria kuwa mumewe ni benka akaanza kujumlisha na kutoa.Alienda pale akihisi kuwa yule aweza kuwa mumewe,sasa ngoja akamuumbue amezidi umalaya.....una la zaidi mkuu?kama huna la zaidi ukae kimya milele.
 
Back
Top Bottom