Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,531
- 96,379
Moja ya sababu za JK kuchelewa kufanya kile anachokiita mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ni pamoja na hukumu ya leo.Hukumu ikoje Matola?
JK hataki kuonekana mbaya nia yake ni wengine wajipunguze wenyewe kumuondolea lawama, ukumbuke Makongoro Mahanga alikuwa ni mwanachama mwaminifu na muhimu kwenye kundi la wanamtandao na mtiifu kwa Lowasa.
Hukumu iko very clear Makongoro is out pasi na shaka yoyote.