Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

Status
Not open for further replies.
Nguvu ya shetani haiiwezi nguvu ya MUNGU! Tunaanza na MUNGU tunamaliza na MUNGU.
 
Hii kama ni mechi CHADEMA wanaongoza kwa Ball Possession 85 kwa 15
 
Nashukuru kwa sababu umeliona hilo. binafsi mimi sihitaji update yoyote kutoka JF kwenye kesi hii, ila nasikitishwa na Admin kwa kutozingatia ushauri wangu, siku hizi humu utadhani kuna malipo kwa mtu anayeanzisha thread!!

Labda ushauri wako hauna mashiko na kutupiliwa mbali. Aliyekwambia kuanzisha uzi unalipwa nani? Msipo pata updates mnalalama ooooh vipi huko hakuna mwanaJF yoyote? Mkiletewa bado mnaleta nyodo. Kuunganisha nyuzi ni mojawapo ya kazi ya MoDs.

Hata zikiwa mia, MoDs watafanya kazi yao na mambo yatasonga.
 
Kwa hoja hizi na ushahidi huo nadhani kama jaji amekwenda shule na anajua kazi yake barabara,hapa tunaanza kupiga jalamba la kuingia uwanjani kushangilia.Labda tusubiri had dakika ya 90 kujua mpira umeisha na matokeo yapo mkononi.

Nakubaliana na wewe! Hata hvyo ni vema tukajua kuwa madai ni kitu kingine na kuthibitisha madai hayo pasipo shaka ni kitu kingine. Kinachoamuliwa mahakamani ni kama kumekuwa na ushahidi wa kutosha (usio na shaka) kuthibitisha madai hayo. Tusubiri.
 
Mahanga keshapigwa chini hana chake tena ashukuru Mungu anapigwa chini wakati mabadiliko yanafanyika katika baraza la mawaziri.
 
Masikio na mioyo yetu iko Segerea, tafadhali jitahidini kutupa updates kadri mnavyoweza. Msitufanyie kama yale ya juzi Bukoba, kwani wengine pressure inaweza kutuua.
 
Kama nimekuelewa una maana magazeti yote yafungwe libaki uhuru, na tv station zifungwe ibaki tbc1, kaza msuli utampiku mwanaasha.
Akili zako zimejaa pumba tupu, mimi ni mpiga kura wa Segerea na nimeisubiri hii kesi kwa hamu kubwa na sitegemei updates yoyote kutoka JF kwa sababu hukumu tayari ninayo na nimeshaisoma, niko hapa just for fun.

Ila kinachonishangaza sijui siku hizi baadhi ya Member humu wanawashwa na kitu gani? hivi ikitangazwa kwamba atakayeleta Breaking news atakuwa analipwa pesa si itakuwa balaa humu? nachukizwa sana na style hii kimbelefront.
 
. . . kwa Updates zote. Kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili haijalishi
mkuu angalia kazi ya 'kupasua mayai' cyo mchezo. si ulimuona yule dada wa cuf aliyekuwa anagombea ubunge afrika mashariki?
my daily bledi. wewe haya tu, zungumza lugha ya bibi tukucheke.
 
Endapo mahakama itaridhika na ushahidi uliotolewa, hakuna mtu anayeweza kunishawishi kwa nini huyo aliyekuwa mkurugenzi (msimamizi), anastahili kubaki kazini hadi sasa....
 
Labda ushauri wako hauna mashiko na kutupiliwa mbali. Aliyekwambia kuanzisha uzi unalipwa nani? Msipo pata updates mnalalama ooooh vipi huko hakuna mwanaJF yoyote? Mkiletewa bado mnaleta nyodo. Kuunganisha nyuzi ni mojawapo ya kazi ya MoDs.

Hata zikiwa mia, MoDs watafanya kazi yao na mambo yatasonga.
Mahakama kuu Dar es salaam!!... nani amekwambia kuna shida ya updates, hata Michuzi au Mjengwa ana access ya kutoa updates ontime, pendekezo langu lilikuwa na mashiko kwa mtu anayetumia ubongo kufikiri na si viungo vingine vya mwili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom