Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

Status
Not open for further replies.
Hukumu ikoje Matola?
Moja ya sababu za JK kuchelewa kufanya kile anachokiita mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ni pamoja na hukumu ya leo.

JK hataki kuonekana mbaya nia yake ni wengine wajipunguze wenyewe kumuondolea lawama, ukumbuke Makongoro Mahanga alikuwa ni mwanachama mwaminifu na muhimu kwenye kundi la wanamtandao na mtiifu kwa Lowasa.

Hukumu iko very clear Makongoro is out pasi na shaka yoyote.
 
jamani mahakama ya biashara hapa panaposikilizwa hii kesi kumezungukwa na polisi wengi sana sijawahi kuona...yani na defender zimepaki ulinzi mkubwa kama rais yupo hapo...sasa au wameshapanga matokeo ya kesi wanaogopa reaction ya wananchi?
Ulinzi mkubwa hivi huwa unaashiria nini? Wasiwasi wa nini tena?
 
Akili zako zimejaa pumba tupu, mimi ni mpiga kura wa Segerea na nimeisubiri hii kesi kwa hamu kubwa na sitegemei updates yoyote kutoka JF kwa sababu hukumu tayari ninayo na nimeshaisoma, niko hapa just for fun.

Ila kinachonishangaza sijui siku hizi baadhi ya Member humu wanawashwa na kitu gani? hivi ikitangazwa kwamba atakayeleta Breaking news atakuwa analipwa pesa si itakuwa balaa humu? nachukizwa sana na style hii kimbelefront.

Mkuu wewe ni kati ya members ambao binafsi nawaheshimu JF... hapo kwenye RED nakataa..Unatudanganya. Kama ni kweli tuwekee humu.
 
Acha watu walete Breaking News mkuu ni dalili njema kwa JF kuwa ni source ya info hapa TAnzania...
 
Mkuu wewe ni kati ya members ambao binafsi nawaheshimu JF... hapo kwenye RED nakataa..Unatudanganya. Kama ni kweli tuwekee humu.
Kwahiyo mkuu wangu na hukumu ya Lema uliwekewa humu na ukaisoma kabla haijasomwa Mahakamani?
 
Rumor has it kwamba Makongoro atashinda na ashaandaa wajumbe watatu toka kila shina huko atokako kwa ajili ya sherehe itakayofanyika baada ya kesi.ni habari iliyopo mitaa ya jimboni Segerea.
 
Aliye chukuwa hoja yangu ajachangia mpaka sasa sijui kama mod yupo makini watu wanauliswa yeye ajibu mpaka sasa kama vp nrudishieni thread yangu npo posta ndo nakaribia hapa mahakamani
Pwaa

Inshu sio wewe kuwa na thread yako,inshu ni habari za uhakika kufika jamii forums kwa haraka kama ilivyo kawaida.Hata hapa waweza kuchangia,usilete habari ya thread yangu,yake,yetu.
 
jamani mahakama ya biashara hapa panaposikilizwa hii kesi kumezungukwa na polisi wengi sana sijawahi kuona...yani na defender zimepaki ulinzi mkubwa kama rais yupo hapo...sasa au wameshapanga matokeo ya kesi wanaogopa reaction ya wananchi?

Carmel usiogope ni dalili ya ushindi hata Sumbawanga ilikuwa hivyo hivyo tu. Tuvute subira kwa hukumu.
 
Moja ya sababu za JK kuchelewa kufanya kile anachokiita mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri ni pamoja na hukumu ya leo.

JK hataki kuonekana mbaya nia yake ni wengine wajipunguze wenyewe kumuondolea lawama, ukumbuke Makongoro Mahanga alikuwa ni mwanachama mwaminifu na muhimu kwenye kundi la wanamtandao na mtiifu kwa Lowasa.

Hukumu iko very clear Makongoro is out pasi na shaka yoyote.

Hii ina make sense mkuu!
 
Kesi ya arusha imewakera majaji wengi sana kwa Lema kupokwa ushindi hv hv! Xo leo makongora mahanga huna chako! Kama kuna cheque sign haraka leo ndo mwisho wako!
 
Rumor has it kwamba Makongoro atashinda na ashaandaa wajumbe watatu toka kila shina huko atokako kwa ajili ya sherehe itakayofanyika baada ya kesi.ni habari iliyopo mitaa ya jimboni Segerea.
Usiongee kitu usichokijuwa, Katibu wa CCM mkoa wa Dar es salaam alishakuja jimboni kwetu Segera kuwaambia CCM wenzake wajiandae kwa uchaguzi mpya. hukumu iko wazi Makongoro is out, kila mwana CCM wa kweli ambaye yuko deeply analifahamu hili fika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom