Kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
 
20231115_075122.jpg
 
we ungepakiwa ungeenda,?
 
Ulitaka waende kwa mguu?
 
Mbona wewe hawakukushinikiza mlipokutana nao? Sisi kwetu kama watu wanaenda kuzika au vitani mkikutana ni lazima ushiriki, hii yako vipi?
 
Hivi umesoma ulichoandika kweli ndugu yangu???

Watu wanaenda kwa hiari yao, haya maisha yalivyo magumu mtu hawezi kuacha kazi zake eti aende kwenye mkutano bila kuwa na sababu za msingi.

Labda niombe tu kufahamu, hao watu uliwasimamisha mmoja baada ya mwingine wakakwambia wamelazimishwa kwenda???
 
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda.

Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali wanashinikizwa kuhudhuria mikutano hiyo.
Hilo lipo wazi, ukitaka kujua ukweli waambie katiba mpya na tume huru wanaruka kama swala.
 
hv hii kukusanya watu kupeleka mikutanoni kujaza watu mnaonaga ni kazi rahisi kama kuchota maji kisimani eeh?

yani watu mnawachukulia kama n mchele hv au mchanga wanachotwa wanapelekwa, ingekua rahisi hivyo hamna chama kingeshindwa fanya huo mchezo.

wewe na akili yako ubebwe twende ukashangae mkutano inakujia? Watu hao wanaenda wenyewe kwa mapenzi yao habebwi mtu hapo we endelea jidanganya.
 
Back
Top Bottom