Makomandoo wetu wa Tanzania

Ukikizoeza kiungo cha mwili kufanya shuruba ya a in a Fulani au dhoruba, calcium hujijenga katika eneo husika na kukifanya kiwe kigumu.
Pia kuna vitu vingine ambavyo humfanya akomae na kuwa imara kiasi hicho ambavyo sio sawa kuviweka hapa labda wahusika waamue kufanya hivyo.
Kwa kifupi ni kuwa hilo jambo linawezekana sana.
 
siyo matofali first grade hayo cement ni kidogo sana

Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.
 
Wanamafunzo maalum, magumu na ya kipekee, ndio maana wanaitwa makomandoo.
 
Wanavunja tofali lenye mchanga tu na cement kidogo

Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.
 
Hata wewe mleta mada hii ukipiga tiki na ukagangamara utaweza vunja tofali
 
Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.

Specify kambi gani

Isije kua kambi ya makomando wenzakee
 
Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.

Kwenye movie, mmoja ndio anateketeza kambi nzima.
 
Angalia clip ya wanajeshi wa Korea kaskazini nao wanavyo pasua mawe kwa mkono na kichwa yaani hatari jamaa wako vizuri sana

Kuna jamaa mmoja anaitwa Tony Jaa, ameigiza filamu kama Ong Back, huyu jamaa nilienda Youtube na kuangalia mazoezi yake nikachoka kabisa. Jama yupo fiti mno kimazoezi, sio yeye tuu hata watu kama akina Tyson unaweza ukawapiga na ubao na ubao ukavunjika. Jamaa mazoezi wayafanyayo inawajenga miili yao ktk ukomavu wa hali ya juu sana.
 
ni matofali haya haya unayoyafahamu wanajengea..ni mazoezi tu hata wewe unaweza ikiwa tu unapata mda wamazoezi.., minimeshudia live wakifanya mazoezi ila haikuwa ndani ya kambi yao... kuna wengine hata sio makomando lakini wako fiti vibaya hao nimewashuhudia ndani ya kambi kabisa... kuvunja tofali ni kawaida sana...
 
tofali zinavunjwa tu manake ni moja ya mafunzo ambayo watu hupitia hasa kwenye ile exercise uvumilivu jeshi kiujumla ni sekfa ingine kabisa
 
Ndugu zangu leo nakuja na swali moja tu na hili linakwenda moja kwa moja kwa hawa makomandoo wetu wanaoonyeshaga mbwembwe zao siku za sherehe za kitaifa pale wanapofanya mambo ya kipekee. Swali langu ni Je, huwa ni kweli au huwa ni kiini macho au mazingaombwe.? Maana katika hali ya kawaida sidhani kama ni rahisi kwa yale mambo kuwezekana.

Mfano: Kuvunja matofali kwa kichwa na kadhalika

Nawasilisha

mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Tony Jaa, ameigiza filamu kama Ong Back, huyu jamaa nilienda Youtube na kuangalia mazoezi yake nikachoka kabisa. Jama yupo fiti mno kimazoezi, sio yeye tuu hata watu kama akina Tyson unaweza ukawapiga na ubao na ubao ukavunjika. Jamaa mazoezi wayafanyayo inawajenga miili yao ktk ukomavu wa hali ya juu sana.

Ni kweli kabisa mkuu hata hao wanajeshi wa tz wanapiga tize mpaka wanakomaa....
 
Back
Top Bottom