Makomandoo wetu wa Tanzania

mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana

Wewe inaonekana hujapitia jeshi
 
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.

Aisee sekunde arobaini mtu bado hajakata roho.. Labda awe amelipukiwa na bomu.
 
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.

Huo uwongo kawadanganye watu wa bumbile
 
mmewapekenyua wanasiasa,wasanii,wananchi wa kawaida mmewamaliza sasa mmehamia kwa wanajeshi.ili kuyajua hayo yote karibu kambini njoo muda wowote utapata jibu ya thread yako.na watz wengi mna midomo mirefu mnayoyaombea yatakuwa na itakuwa majibu ya thread zenu za kejeri kwanza tunawamis sana

Somalia hapo mnaogopa kwenda!!
 
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.

Aah wapindugu
 
Ukikizoeza kiungo cha mwili kufanya shuruba ya a in a Fulani au dhoruba, calcium hujijenga katika eneo husika na kukifanya kiwe kigumu.
Pia kuna vitu vingine ambavyo humfanya akomae na kuwa imara kiasi hicho ambavyo sio sawa kuviweka hapa labda wahusika waamue kufanya hivyo.
Kwa kifupi ni kuwa hilo jambo linawezekana sana.

Rahisi kiivyo
 
Back
Top Bottom