Makomandoo wetu wa Tanzania

Ni matofari vibiskuti yale siyo kama yale yanatumika kujengea nyumba au barabara kama yale ya Trabag barabara za mwendo kasi
 
sasa huyo wa matofali tu unashangaa, kuna hao ambao wamehifadhiwa mpaka vita vitokee, yaani wanaouwezo wa kula mabomu, risasi au kutafuna vyuma...

Mkuu ww ndo umeua bendi hadi nkajikuta nacheka ghafla, wanakula risasi+mabomu+kutafuna vyuma??? Hataree sana
 
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.
 
subiri vita vianze, ndio utawaona, kwa sasa wamehifadhiwa sehemu ya kificho....
 
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.
mimi siamini
 
Kwa sisi tulipitia mafunzo hayo, mambo ya kuvunja tofali ni vitu vya kawaida hata liwe la zege. Na haya mnayoonyeshwa ni sehemu kidogo tu mengime mkionyeshwa mtasema ni uchawi. Kwa ujumla kuna mambo mengi, kwa mfano, naweza kukutengenezea ugonjwa wa kukutia umasikini/usiotibika hata kama wewe ni milionea. Nakutekenya sehemu fulani ya utumbo na kuitegua, uponi kamwe ila baada ya miaka 2 au 3 tunakuzika.

Hizoo intimidation tu

Hat a wewe ukifanyiwa the same thing unazikwa , kwahiyo nothing special there
 
Unaamini kwamba Commando mmoja kati yao pale anaweza akamuua Askari Jeshi wa kawaida ndani ya dakika 1 au sekunde 40. Ngumi yake moja ikitua popote pale ndani ya mwili wa mtu wa kawaida inakuwa ni balaa. Hawa majamaa wamekomaa si mchezo.

Umeshasema mwili wa mtu wa kawaida sawa na wewe husiye na mazoezi ya ngumi ukapigane na cheka
 
Haya mambo ya Martial Arts hakuna kiini macho, ukibobea sana ktk haya mambo unakuwa hatari mno. Sijapita ktk mafunzo ya makomando ila nina uhakika jamaa wamepitia kila aina ya Mafunzo/Michezo ya ngumi. Sasa moja ya kanuni ktk Martial Arts ni lazima uwe mkakamavu, Commando anakuwa mkakamavu kutokana na mafunzo yake magumu anayofundishwa, wanafunzwa mengi, anaweza akawa mmoja na akatetekeza kambi nzima.

Teeerh,teeeh,hata akipigwa risasi hafi
 
Ni matofari vibiskuti yale siyo kama yale yanatumika kujengea nyumba au barabara kama yale ya Trabag barabara za mwendo kasi

Duuu,ukiyabadilisha ukawawekea yale bila wao kujua utawaua mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom