Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,315
- 6,846
Tatizo maelezo yenu yote yanaelezea eti jinsi gani watatupa kipondo sisi ambao hatuna mafunzo yoyote pindi tuwachokozapo kama justification ya u-fit wao na kwa wote watakaothubutu ulimwenguni, ,duu!
KakaJahazi;
Ni kweli ulilosema. Maana sasa tutashindwa kuwatofautisha na mtu mwingine ambaye ana uwezo wa kupigana hata na watu 40 wote wakagwaya. Issue hapa ni je, when it comes kwenye maswala ambayo wamekuwa trained kwa ajili yake, wako fit? Ila mimi kwa upande mwingine nadhani kwenye ukommandoor kuna international standards ambazo bado zinazingatiwa in a strict sense kwamba komandoo wa hapa, US, Israel, India, Pakistan, n.k. hawawezi kutofautiana ujuzi, labda vifaa vya kutumia, na pengine hawa wa kwetu sababu ni watu wanaozaliwa kwenye mazingira magumu tangu wakiwa watoto mchanga, wanaweza kuwa wako fit zaidi kwenye fierce situations kuliko hata wale wa mataifa makubwa, sema tu wanaweza kuzidiwa vifaa vya kutumia, ila kama ni bare foot, bare handed, nadhani hapa tunao wanaoweza kummninya hata chui ukafikiri wanaminya paka!