Makomandoo wetu wa Tanzania

Tatizo maelezo yenu yote yanaelezea eti jinsi gani watatupa kipondo sisi ambao hatuna mafunzo yoyote pindi tuwachokozapo kama justification ya u-fit wao na kwa wote watakaothubutu ulimwenguni, ,duu!

well! umeeeelezwa huelewi bado, it seems una unachofahamu kuhusu hao majirani. if so waambie waombe mechi ya "kirafiki" ningependa timu ya kwanza itoke kwa Tolu maana it seems ndipo unapo egemea baada ya hapo urudi!
 
Wana bodi.
Hawa makomandoo wa Tz si tuliwaona uwanja wa taifa jinsi wanavyopasua tofali kwa kichwa.
Yani wana mambo ya miaka ya 47, wakati wenzao wapo kwenye level za SEAL...

Md 25 ....sijui ni md kweli na wewe anatomy uliyo soma sijui ni sawa na anatomy ya Harvard....... Maonyesho na vile iwe ni russia or China wote wanayafanya
 
hao makomandoo wa bongo muwasikie tu hvyo hvyo wanafanya mazoezi ya hatari me nna mdogo wangu alichaguliwa akaenda morogoro kapigishwa zoezi kajua akitoka kule full komandoo atapata angalau bawa moja kamaliza mafunzo karudi home hoi kaambulia kofia nyekundu anaambiwa hyo basic training,mbona kaacha jeshi sasa hv anamalizia degree ya uhasibu kaona arudi shule hao watu ni hatari.

kweli kabisa mkuu...mie kuna moja nilikuwa naziangalia
ni za zambia waweza zipakua youtube kupitia : https://www.google.co.tz/search?q=z...AgQ_AUoAmoVChMIl5_Bmp7zxgIVARMUCh2puAD5&dpr=1
hapo ndo utaamini kuwa wanchofanya ni kweli au wana tania ...ziko sries kama 7 hivi.

1072010-1.jpg
images
$_57.JPG
sf-hornet2.jpg
 
huko ndio tulienjoy maisha na kujifunza kupambana kimaisha toka tukiwa under 18,,,, lazima ujifunze boxer, karate, nk hakuna kukubali kuonewa safi sana mkuu heshima kwako,, primary karume,, sec AZABOY mitaa manzese hapo...

Yap!, Bila ya kwenda dojo au kupiga ndonga kila mtu anakuona wa kukudandia.

Nakumbuka kuna wakati Fulani timu yetu ya kitaa Friends Ranger walicheza na Beach Boys pale Makurumla, wakati huo Beach Boys wanaogopewa kwamba ni watu wenye vurugu wamejichokea kwa hiyo Rangers walijiandaa kwa vurugu.
Game ilipigwa, Boys wakafungwa wakaanzisha vurugu zao. Walichezea kichapo na washabiki wao kadhaa waliuliwa ndo ikawa mwisho wangu kwenda kuangalia mechi za pale Makurumla.

Primary Makurumla, O level Forodhani, Advance Tambaza maisha mitaa ya Magomeni Kagera karibu na Friends Corner. Salute Mkuu!
 
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu. Komandoo ni askari aliyepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

Zamani ilikua ukisikia Komandoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba, Misri na Israel. Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera? (Kwani siamini kama bado tuko huru)..

Kawapime mazee
 
kwenye hiyo game nilikuwepo mkuu ila hiyo hali niliiona mapema ikabidi nitoke mapema siunajua tena safety first,,, ila hao majamaa wa beach boy walikuwa wamepinda kinoma,,,,MPE HI MZOZO NA VIJANA WAKE,,,
 
HAYO MAMBO SIO SIASA MKUU, UNAONGELEA USALAMA WA TAIFA HAPO,,,Ile kupasua matofali ni show tu kukufurahisha wewe na wengine... ukishaitwa komando kwenye taifa lolote sio suala la kawaida...

HAPO HAMNA SIASA CCM AU CDM...
 
Kwenye suala la jeshi na mafunzo yake acha kabisa hasa ukitaja comando ndio kabisa wale jamAaa hawana kazi ingine zaidi ya mafunzo na kushiriki kwa vitendo sehemu zenye vita wanalinda amani...wamekaa sana lebanon,ivory coast,sudan kusini darfur sanaa..... Wanaenda huko kila leo wanabadilishana tu muda kukaa huko achana nao kabisa!!!

mkuu commando hawezi kwenda darful kulinda amani..
 
kwenye hiyo game nilikuwepo mkuu ila hiyo hali niliiona mapema ikabidi nitoke mapema siunajua tena safety first,,, ila hao majamaa wa beach boy walikuwa wamepinda kinoma,,,,MPE HI MZOZO NA VIJANA WAKE,,,

.......Poa poa Mkuu!!. Japokuwa kwa sasa sipo maeneo ya Kagera.
 
Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu. Komandoo ni askari aliyepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

Zamani ilikua ukisikia Komandoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba, Misri na Israel. Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera? (Kwani siamini kama bado tuko huru)..
Taaluma inaweza kufundishwa au kupatikana sehemu yeyote kitu cha msingi ni kuzingatiwa kwa mitaala husika! Naamini hata hapo morogoro taaluma hiyo hutolewa kwa kiwango stahiki na wakufunzi wengine ni haohao wataalam kutoka cuba na Islael n.k
 
Back
Top Bottom