Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Hiyo nyumba imekuwa kichocheo cha wengi kupambana kwenye haya maisha, sio ya michango hiyo, hiyo ni nyumba ya familia ya wafanyabiashara, ukitaka kupata jibu zuri la uwepo wa hiyo nyumba, kwanza uwe na ndoto positive, pili usichanganye mawazo ya kimasikini pale ukijiuliza hiyo nyumba ilipatikanaje.
 
Back
Top Bottom