MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,364
- 22,928
Mbowe kazaliwa kakuta baba ni milionea. Mzee Aikaeli Mbowe alikuwa tajiri mkubwa kabla ya uhuru na ni mnufaika wa matunda ya uhuru. Ile keki ya taifa inayotajwa yeye Mzee Aikaeli alijimegea kipande cha kutosha. Isitoshe Mbowe alikuwa mjanja kupata baba mkwe tajiri ambaye akamrithisha biashara ya chama. Kwenye msiba wa Mzee Aikaeli ilikuwa kama sherehe. Mimi nilikuwa mdogo nakumbuka nilikunywa soda 7 pale msibani ndani ya masaa machache. Ukiachana na biashara zingine kwa zile ruzuku na maokoto ya Covid19 lazima angejenga hekali kali.